turbocharger
Member
- Dec 14, 2016
- 52
- 67
Habari wanajamvi nina nyumba ninaipangisha ipo Gongo lamboto kituo kipya ina vyumba 14 vyote no master kisima cha maji kipo na nyumba ipo karibu kabisa na barabara inafaa kwa matumizi kama nyumba ya kulala wageni na pia dispensary nyumba ipo katika mazingira mazuri sana kwa anahitaji anaweza kuwasiliana kwa mawasiliano haya .
0714670994 au 0654 243810 Asante
0714670994 au 0654 243810 Asante