Recent content by Turasa

  1. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz

    Iran huyo ndo asili yake
  2. T

    JamiiForums Tanzania Prof. Godious Kyaharara amuwakilisha Rais Samia mkutano wa nchi zisizo na bandari

    Hatuna bandari ilishauzwa inasoma hiyo Niya UAE sio yetu
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kuna taarifa zinasambaa kuhusu kundi hili katia picha hii kwamba wakikutana na kuanzisha chama basi kitakuwa babkubwa

    Tanzania sio Kenya,huyo msajiri wa Vyama vya siasa ni kada kindaki ndaki unategemea huo usajiri wataupata?
  4. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waraka wa Alex Msama Mwita kwa;MHE. RAIS Samia Suluhu Hassan - (Sehemu ya Kwanza)

    Huyu nae na makengeza yake anataka kusema nini mbona haeleweki yuko mama! Mama!
  5. T

    JamiiForums Tanzania KERO NIDA wamefuta namba yangu ya kitambulisho niliyotumia tokea 2017 kwa madai fomu yangu ya maombi haina muhuri wa afisa uhamiaji

    Namba ya simu uliyotumia kuwapigia mkuu ninashida nao nami pia
  6. T

    JamiiForums Tanzania D.Trump-no one is above the law, obama apigwa pingu!

    Huo ujinga wa Kinga upo huku kwenye shithole country
  7. T

    JamiiForums Tanzania Onyo la CDF: Ilikuwaje CCM ikampitisha Ssebuyoya (mrundi anayejaza warundi nchini) kuwa mwakilishi wa vijana?

    Kuna wahindi ni wabunge,Kuna waarabu ni mawaziri ,Kuna wasomali ni mawaziri Leo unashangaa mwenye asili ya Burundi kua doctor watu weusi tutaendelea kua nyuma Kwa roho zetu mbaya.Siasa isikufanye kua kipofu mkuu
  8. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Arusha Mjini wapo tayari kumrudisha Gambo

    Huyo DAB alikua ana msnitch JPM sema alichelewa kushituka ,ndio hata ubunge alimtosa
  9. T

    JamiiForums Tanzania Alex Msama: Wanaomsema Rais Samia wanamsema Mungu, wanaoshutumu wanamshutumu Mungu

    Hapa ndo huaga nawapenda waislamu,huyu alitakiwa kukatwa kichwa Kwa kumkufuru MUNGU
  10. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Shinyanga: Maji taka yanayotoka kiwanda hiki cha vinywaji sio salama, Mamlaka zifuatilie

    Utakua wewe ndo jambo mwenyewe tueleze vizuri maji machafu yapo yanatiririka kwenye vyanzo ama hayatiririki tuelewe mkuu,acha hasira mjibu mtoa mada
  11. T

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Faini ya Millioni 50 kwa kila chombo kilichopata ajali na Fidia ya Millioni 500 kwa kila kifo, ajali zote zingeisha ndani ya siku moja

    Nani atatunga hizo Sheria ngumu wakati wamiliki wa mabasi ni haohao akina Mwigulu na wenzake?
  12. T

    JamiiForums Tanzania M23 yalitembelea Jeshi la Afrika Kusini kambini kwao

    Hongera sana M23 iendelee kuimarisha usalama katika maeneo yote waliyochukua
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mercenaries kutoka Romania waomba njia Rwanda kurudi kwao

    Hao M23 wakati ule Bado wanaitwa CNDP mbona walishawahi kuingizwa jeshini?lakini walipoona Serikali inaleta miyeyusho wakarudi porini na silaha zao
  14. T

    JamiiForums Tanzania Muimbaji wa injili Goodluck achoma moto gari alilopewa zawadi na mchungaji

    Ameshaliwa huyo
Back
Top Bottom