Recent content by Tupilike Mwakajumba

  1. Tupilike Mwakajumba

    Ushauri: Ni sehemu gani nzuri ya kuishi kati ya Tukuyu ama Kyela?

    Mara nyingi mtumishi akisikia anahamishiwa Kyela anaona kama anapewa adhabu ni sawa na zamani ,wengi walikuwa wanaacha kazi wakisikia wanahamishiwa Lindi au Mtwara,lakini mara wafikapo Kyela na kukuta hali ya maisha poa wengi wao hawataki tena kwenda sehemu nyingine,hapa kyela usafiri wetu...
  2. Tupilike Mwakajumba

    Ushauri: Ni sehemu gani nzuri ya kuishi kati ya Tukuyu ama Kyela?

    Ameandika Tukuyu ndio kuna baridi ,soma vizuri.
  3. Tupilike Mwakajumba

    Nini kipo nyuma ya kuzuia kuchukua picha au video za bwawa la Mtera?

    Kwanini nitumie picha za Google wakati mwenyewe naweza na naweza kutumia ubunifu wangu kupiga picha ninavyotaka mimi?vinginevyo nina wasiwasi kama unajua mambo ya photography.
  4. Tupilike Mwakajumba

    Nini kipo nyuma ya kuzuia kuchukua picha au video za bwawa la Mtera?

    Hayo mambo yamepitwa na wakati,mimi ni mpiga picha huwa nakwazika sana na hayao matanganzo ya kutopiga picha sijui Bwawa la mtera mara ukiwa unapita barabarani pale Mikumi,kwa dunia ya sasa ambapo ukigoogle tu na kutumia google,earth/map unaona kila kitu bwelele tena laivu sijui ni kipi kipywa...
  5. Tupilike Mwakajumba

    Shule hii Mbeya iko wapi?

    Hadi sasa Iyunga ni ya vipaji maalumu wale wenye ufaulu mzuri tu ndio hujiunga kidato cha kwanza hapo.
  6. Tupilike Mwakajumba

    Picha za vivutio wilayani Kyela,nchini na nje ya nchi ,kila siku nitakuwa naweka picha moja,picha zote nimezipiga mwenyewe kwa kutumia kamera na simu.

    Hii picha niliipiga kwa simu nilipokuwa jijini Atlanta Marekani,hapa ndio makao makuu ya ya shirika la utangazaji la CNN na pia pana hoteli maarufu inayoitwa OMNI HOTEL ,Atlanta ni kati ya majiji makubwa nchini Marekani .Leo nitazungumzia kidogo juu ya vijana ambao hawajawahi kufika Marekani na...
  7. Tupilike Mwakajumba

    Picha za vivutio wilayani Kyela,nchini na nje ya nchi ,kila siku nitakuwa naweka picha moja,picha zote nimezipiga mwenyewe kwa kutumia kamera na simu.

    Hapana mambo tu yameingiliana hard disk yangu yenye picha ilianguka kwa hiyo haisomi,najipanga kuipeleka kwa mafundi waangalie kama wanaweza kuretrieve data zote,wewe una kamera gani?isije kuwa una kamera ya simu lakini,pia nimepost hivi karibuni picha za ndege ninaowapiga hapa Kyela sijui kama...
  8. Tupilike Mwakajumba

    Huyu mdudu gani wakuu?

    Maeneo ya Tegeta wapo wengi sana ,ni wapole na hutembea taratibu,nimewahi kuwapiga picha bahati mbaya hard disk yangu imekufa baada ya kudondoka chini.
  9. Tupilike Mwakajumba

    Picha za vivutio wilayani Kyela,nchini na nje ya nchi ,kila siku nitakuwa naweka picha moja,picha zote nimezipiga mwenyewe kwa kutumia kamera na simu.

    Ni TZS Ni TZS 100,000 ni nyumba ndogo inajitegemea ina jiko dogo,na sebule kubwa yenye makochi mawili na meza ya kusomea au kuandikia ikiwa na taa yake pembeni,nimeshindwa kuupload picha za sebule sababu faili ni kubwa na JF wana limiti na faili ambazo unaweza kuupload,pia kuna WiFi vyumbani
  10. Tupilike Mwakajumba

    Picha za vivutio wilayani Kyela,nchini na nje ya nchi ,kila siku nitakuwa naweka picha moja,picha zote nimezipiga mwenyewe kwa kutumia kamera na simu.

    House Sparrow-jina la ndege kwa hisani ya Mwalimu,mtunzi wa vitabu ,mpiga picha na mtaalamu ndege ndugu Mustapha Semeni Kayoka
  11. Tupilike Mwakajumba

    Picha za vivutio wilayani Kyela,nchini na nje ya nchi ,kila siku nitakuwa naweka picha moja,picha zote nimezipiga mwenyewe kwa kutumia kamera na simu.

    African Indigo Bird-jina la ndege kwa hisani ya Mwalimu,mtunzi wa vitabu ,mpiga picha na mtaalamu ndege ndugu Mustapha Semeni Kayoka
  12. Tupilike Mwakajumba

    Picha za vivutio wilayani Kyela,nchini na nje ya nchi ,kila siku nitakuwa naweka picha moja,picha zote nimezipiga mwenyewe kwa kutumia kamera na simu.

    Little Kingfisher-jina la ndege kwa hisani ya Mwalimu,mtunzi wa vitabu ,mpiga picha na mtaalamu wa ndege ndugu Mustapha Semeni Kayoka
Back
Top Bottom