Hit Man 47
Member
- Mar 29, 2019
- 62
- 84
Nungunungu huyo nyama yake tamu sana japo ni ndogo
Anaitwa Kalunguyeye kwa kiswahiliHuyu mdudu gani wakuuView attachment 1096400
Hedgehog
Sasa ukikutana na nungunungu aka porcupine sitatafutana!Huku Kilimanjaro tunamwita kifafiri usiku anamikwara unaweza kukimbia ad ukapotea
Dah...hakuna elimu isiyokuwa na application kwenye real life....kinyume chake maisha huwa magumu na yasiyo na tijaHaya mambo hata sijui kama yana application kwenye real life.




Yaani mtu kaweza kujiunga na JF lakini hajui kutofautisha Mdudu na Mnyama.. Aisee!Huyu mdudu gani wakuuView attachment 1096400
We utakua wa Sumbawanga ha ha haKidungumalia
Nyie ndio mmejenga Madale huko ambapo zamani zilikuwa hifadhi za taifaNa mimi amepita hapa home juzi, nilizoea kuwaona kilimanjaro nimeshangaa watoto wananiita, kutoka nakutana na kitu kama hii hapa dar.
Mimi nipo huku ambapo magu ametuvunjia bila fidiaNyie ndio mmejenga Madale huko ambapo zamani zilikuwa hifadhi za taifa
Anaitwa "Karunguyeye".
Hawa miaka ya nyuma nilikuwa nawaona sana mikoani hasa Tabora,na Dar walikuwa nadra sana kuonekana,ila ajabu Dar siku hizi nawaona mara kwa mara.
Huyu mdudu gani wakuuView attachment 1096400