Recent content by TUPAC AMARU SHAKUR

  1. T

    JamiiForums Tanzania Nape na ombi la CAG kukagua mikopo; kuna watu wamepanic!

    UKAGUZ UFANYIKE ILI TUONE HUYO ANAESIFIWA KUWA NI MZALENDO NA ALIKUWA ANAFANYA MIRADI KWA FEDHA ZETU ZA NDANI TUMUONE NA TUUJUE UKWELI WAKE
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. Magufuli anapohukumiwa kwa kifo chake

    Nchi haileweki?? Labda kama ni kwenu huko Chato,nchi hiii ilikua almost imecollapse hii, Unaweza kutupa vigezo gani unavyosimamia kusema kwamba nchi kwa sasa haieleweki kabla hatujaanza kukupa sisi vigezo vyetu??
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. Magufuli anapohukumiwa kwa kifo chake

    Dunian hapa wamepita watu wengi sana, Toka kwa baba yetu Adam na mama yetu Anna wamepita watu wengi sana wema na wabaya, Mungu kupitia manabii na mitume wake ametuelezea simulizi nyiingi sana za watu waliopita na kufariki na kuzikwa, Siyo kwamba tulipewa simulizi zile kwa bahati mbaya la...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Prof. Assad: Niliondolewa kazini kinyume na taratibu kwasababu nilikuwa sifuati maelekezo ya Mtu

    Maisha ni kitu cha thaman sana, Chuma kilijua kucheza na maisha ya watu,kiko wapi kile chuma leo?? Ogopa sana kucheza na maisha ya watu,ogopa sana
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mchoraji Katuni, Optter Fwema mahakamani leo

    Kama katuni yenyewe ndiyo hii basi hakuna namna,wacha ashikishwe adabu kidgo Lazima ajifunze kuheshimu mamlaka
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mchoraji Katuni, Optter Fwema mahakamani leo

    How the hell could call yourself A SON OF A BIACH??
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mapadri 3000 wagundulika kuwadhalilisha watoto kingono tangu 1950, Ufaransa

    Mkuu,tatizo linakuwa nin hasa had wanafanya hivyo??
  8. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba hili la Maharage Chande na Zawadia Nanyaro litakuponza mbele ya safari

    Let say its true unacho kinena, Je,ni makosa hao jamaa wakiwa ni wajumbe wa bodi ya jakaya kikwete na huku wakiteuliwa kuwa wajumbe wa Tanesco kama qualifications wanazo??
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kwa kampeni yenu hii, mtawatoa wote lakini hamtaweza kuyafuta waliyoyafanya

    CCM Vituko sana,pamoja na kwamba kwa sasa mpo pekeyenu huko serikalin lakin bado hamridhiki mnaendelea kulalamikiana?? Sasa sisi tuwasaidie nini
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ni maono yangu 2030 January Makamba Mgombea CCM wakati Polepole akiungana na Bashite Kwenda Upinzani

    Na vip ambao walimuona magufuli alifaa kuwa rais unawachukuliaje
  11. T

    JamiiForums Tanzania Ni maono yangu 2030 January Makamba Mgombea CCM wakati Polepole akiungana na Bashite Kwenda Upinzani

    Na kwanini yasiwe madhehebu mengine kama walutheri??? Wakatoliki kama Mkapa au Magufuli wameprove failure
  12. T

    JamiiForums Tanzania Polepole ajifunze kusoma alama za nyakati na aheshimu ulimwengu

    Ni kweli Mkuu,umeongea ukweli
Back
Top Bottom