Recent content by tuongee

  1. T

    JamiiForums Tanzania Nani alijua Kapuya anamiliki mgodi wa madini?

    kwa kuwa hayo yamejulikana, na kwa kuwa utajiri walionao wenzetu hawa una-amount into millions, basi, who are the top 10 millionnaires of tanzania? kuna anayeweza kutupa hiyo orodha? kweli JF ni kiboko!
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kumbe Lowassa ni msanii by proffesion

    Hey people, You caught me by surprise! Ninavoelewa mimi ni kuwa pale Mlimani kuna idara ... sijui faculty...kubwa ya ARTS (sikusoma mlimani) iliyo na madaktari na maprof wa ARTS, i do not know if you guys have the slightest idea the amount of harm mnayosababisha kwa waTz wenzetu hawa: dada...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Serikali imefanya kweli Hongera kwa kuzinduka

    haya ya kupongezana kupita kiasi ndo tunayakataa kila wakati ... kwani wamefanya nini cha ajabu? arent they doing their job? , wenye uelewa wa marketing na uchumi please comment on issues raised by Game Theory.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hoyce Temu na Wabaguzi Mamboleo!

    atuambie! wote wanatumia kiingereza wakati wa kujibu maswali? si kweli! kama sikosei mashindano ya 2005 au 2006 kuna mrembo alikuwa na mfasiri wake na nadhani alikuwa kwenye top 5, mnaokumbuka vizuri naomba mnisaidie. Kuhusu wahindi kuwa wabaguzi mi nina experience yangu mwenyewe, mdosi yule...
  5. T

Back
Top Bottom