Hii plot nilinunua siku za nyuma kidogo kabla ya lami haijapita kutoka kishiri kwenda Buhongwa.
Kwa mnaojua hii short cut ni kama m900 tu urefu wa hii barabara.
Saizi naona nikauze kwa bei ya hasara milion 7.5 tu.
Si pabaya maana rami n kutembea tu dk10 umefika .
Mwanza viwanja siyo ghari...
Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016.
Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.
Iwambi mbeya hapana kwa kweli.
Ingekua Arusha ingekua milion 200
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.