RIP My BROTHER, ama kwel uhai wa mtu uko mikonon mwa mtu,niliishiwa nguvu baada ya kuambiwa kaka yako kafarik ghafla, nilala na usiku kukaa kumuwaza alichokuwa ameniahd na mimi nlichomuahd kama wk moja ilyopita, ni kwel nliumia ila siwez kushndana na Mungu kuhusu hlo,ulinipa support kwenye...