Recent content by TUNTEMEKE

 1. TUNTEMEKE

  Uchaguzi 2020 CHADEMA kupoteza majimbo yafuatayo

  Kimahesabu, CCM ndio washindi wa Uchaguzi Mkuu wa 2020 kabla hata ya mwenda kwenye Box la Kupigia kura. Ushindi huu wa CCM ambao umetokana na utekelezaji kabambe wa miradi mbali mbali chini ya serikali ya awamu ya tano. HESABU ZA KISIASA zinaonesha majimbo yafuatayo ya Upinzani yanakwenda...
 2. TUNTEMEKE

  USHAURI: Kwa maslahi ya nchi, Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 ufanyike kwa ngazi ya Ubunge na Madiwani tu

  Bishweko BADO MADINI yapo moja wapo ni hili la kuokoa fedha za Umma.
 3. TUNTEMEKE

  USHAURI: Kwa maslahi ya nchi, Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 ufanyike kwa ngazi ya Ubunge na Madiwani tu

  Mh Rais anasubiri Muda wake ufike apumzike, HOFU yenu ni nipi??? Ameshasisitiza yeye atafanya kazi katika kipindi chake na atapisha, TATIZO mnadeal na kesi ndogondogo
 4. TUNTEMEKE

  USHAURI: Kwa maslahi ya nchi, Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 ufanyike kwa ngazi ya Ubunge na Madiwani tu

  Je unajisikiaje tutumie mabilioni kushindania nafasi ambayo mshindi tayari ameshapatikana kwa yale anayoyafanya na watu kumuunga mkono?Maslahi Binafsi ni kufuja fedha za Umma wakati tunaweza kuziokoa
 5. TUNTEMEKE

  USHAURI: Kwa maslahi ya nchi, Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 ufanyike kwa ngazi ya Ubunge na Madiwani tu

  WanaJf, Kwa haya yanayoendelea nchini (uchapaji kazi wa Rais magufuli) na hasa kukubalika sana kwa wanachi wa kawaida na hata wa kipato cha kati na juu (Machinga, wakulima, Mamantilie, Wafanyabishara n.k) ambao asilimia 90 ndio wapiga kura katika nchi yetu, JE SI UUNGWANA NA MATUMIZI BORA ya...
 6. TUNTEMEKE

  Mauaji Kinondoni: Waziri Nchemba amtaka IGP na timu yake kufanya uchunguzi wa kina

  Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi, Mh.Mwigulu Lameck Nchemba amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro kuunda timu ya kuchunguza vitendo vya kikatili wanavyofanyiwa wanasiasa ikiwemo mauaji yaliyotokea Kinondoni Jijini Dar es salaam. Waziri Nchemba ametoa maagizo hayo akiwa...
 7. TUNTEMEKE

  Dr. Slaa apewe fursa ya kutufanyia tohara ya kisiasa

  Nilipomuona jana Dr.Slaa nikakumbuka nyakati na majira yale nilipokuwa karibu naye katika kazi za kisiasa. Amerejea nchini akiwa na afya njema,amerejea nchini akiwa na msimamo wake uleule kwamba KINACHOMPETA PAMOJA kati yake na JPM ni mapambano chanya dhidi ya Ufisadi, Majizi na kila aina ya...
 8. TUNTEMEKE

  Yanayojiri katika kikao cha Kamati Kuu Chadema

  NIPO SANAAA MKUU
 9. TUNTEMEKE

  Kosa kubwa la Malecela wa NIMR: Rais kaona mbali athari za ZIKA

  Zika na NIMR Dk. Mwele Ntuli Malecela leo si Mkurugenzi tena wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR). Ikulu leo imemtangaza Profesa Yunus Mgaya kuwa mbadala wake. Kwanini Mwele kaondolewa? Nimeulizwa hili swali na baadhi ya watu nami nikauliza hapa na pale ili kupata majibu. Na...
 10. TUNTEMEKE

  Kaimu Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai: Uchunguzi unaendelea kuhusu maiti 7

  First suspect ni wahamiaji haramu alisema kwa sababu..wiki iliyopita wahamiaji haramu zaidi ya 81walikutwa hoi poli la bagamoyo wakiwa hawajitambui.
 11. TUNTEMEKE

  Ufisadi huu kwa Mwigulu Nchemba unahitajika majibu zaidi ya uwajibikaji kisiasa

  Ni wapi mwigulu anetajwa au amehusika kwenye hizi TOILET PAPER zako,Mnamsakama Mwigulu as if ndio anayekupa Ugali
Top Bottom