Sure.. Maana kilichotokea SAUT Mwanza leo c mchezo. Aliingia kijana mmoja ktk darasa ambalo c lake... Kakaa nyuma ya darasa na akawa anafungua begi lake, watu kuona hvyo na hawamjui wakatmua mbio balaa. Wengine wamevunjika miguu na meno saa hz wapo Bugando.. Yaan kumetuliaaa kla mtu yupo hostek...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.