Recent content by tungwilege

  1. tungwilege

    JamiiForums Tanzania Nashangazwa na tabia ya Dr. Mengi ya kuwaita walemavu kila mwaka

    Haumfahamu dr.Mengi nahisi ni amesaidia sana tena sana watu wenye uhitaji maalumu,hvyo hayaweza kuwasaidia wote wa tz ila kupitia hlo nao hufarijika sana zaidi ya vile unavyohisi ww na hapohapo na wengine hupata nafasi ya kutoa maombi yao ya mahitaji moja kwa moja kwa dr.Mengi kwa kupitia hicho...
  2. tungwilege

    JamiiForums Tanzania Disturbing question: Ni sahihi kwa Serikali kutangaza hadharani afisa wake amemaliza kazi ya siri?

    Alipewa kazi maalumu shida yako nn hapo,hawajasema siri bali ni kazi maalumu
  3. tungwilege

    JamiiForums Tanzania Nitaanzaje kumtambulisha mchumba huyu?

    Ww hujielewi,unataka mke au msomi?kama unataka mke mtambulishe ila kama unataka msomi nenda katafute huyo msomi ambaye atawafurahisha wazazi wako
  4. tungwilege

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Edward Hoseah

    Alikuwa anangoja nini kuavhia ofisi kama alikuwa anapuuzwa na viongozi,ni mmoja wapo wa wasomi duni na dhaifu asiejiheshimu yeye mwenyew ss ataweza kufanya kazi?mwache aende na atokomele mbali
  5. tungwilege

    JamiiForums Tanzania Nakupenda sana: Pumzika kwa amani Mama yangu

    Pole sana ndugu,Mungu akupe wepesi...
  6. tungwilege

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amemteua Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU

    Aifumue yote tu,chombo kipo kipo hakina kazi kama vile vya wenzetu km kenya na afrika kusini,hawana mbinu za kudili na ufisadi na rushwa,wamekuwa watu wa kupewa kazi na si kuzichimbua wao
  7. tungwilege

    JamiiForums Tanzania Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    Wamemaliza kutangaza tbc naona,walikuwa wakitangaza
  8. tungwilege

    JamiiForums Tanzania Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    Wanatangaza tbc mbona
  9. tungwilege

    JamiiForums Tanzania Makamba: Tunashangaa ZEC kufuta uchaguzi

    Yaani huyu jamaa ni mnafiki mpaka basi,anatufanya wote tunaakili fupi km zake,ningekuwa nalaani ningelaani apate ulemavu usioweza kuppnyeka mpaka anaingia kaburini
  10. tungwilege

    JamiiForums Tanzania Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Majimbo yenyew ni kule unguja,ss unguja ni ngome ya sisimu hata hivyo amejitahidi sana lowasa utasikia pemba ss
  11. tungwilege

    JamiiForums Tanzania Wanaokesha kwa ajili ya ukombozi wa Taifa, Karibuni Hapa

    Nimekutana na gari la serikali linafaulisha masanduku ya kura tena yaliyokwisha pigwa kasulu,yaani sijui vijana wa ukawa wamelala huku au nn,imeniuma sana ila naomba Mungu awaaibishe licha ya mipango yote ya sisimu kuiba kura kwa lowasa kushinda
  12. tungwilege

    JamiiForums Tanzania Magufuli ni chaguo la Mungu, alitabiriwa kwenye bibili. Afuata nyayo za mfalme Daudi

    Mtoa mada ukapimwe akili
  13. tungwilege

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa aongea na Watanzania; aahidi Katiba Mpya itapewa kipaumbele - Oktoba 23, 2015

    Amina,God's time is best
  14. tungwilege

    JamiiForums Tanzania Kuelekea oktoba 25, watanzania tumesahau shida zilizoletwa na CCM?

    Yote hayo ndivyo lakini wananchi wa tz wanauelewa mdogo sanasana yaani wanahongwa chumvi ya uvinza ambayo kimbo moja inauzwa 2000,waalimu wanapewa hela wagawane ambapo wanagawana 2000 hata 1000,ss hawa ndo tunaita wasomi wanahongwa 1000 na wagombea wa sisimu,bado tunasafari ndefu ya kujitambua
  15. tungwilege

    JamiiForums Tanzania Nyerere: Uongozi wa nchi haujaribiwi, labda uongozi wa mji

    Kwa hiyo?
Back
Top Bottom