Recent content by Tunguja

  1. Tunguja

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ikifufuka tena ndani ya hii miaka 10 kuanzia 2025- 2035 nitagawa kila ninachomiliki kwa wenye uhitaji na nitaacha kazi

    Sasa kama imekufa ya nini kumtajataja Marehemu?
  2. Tunguja

    JamiiForums Tanzania Polisi wapiga marufuku CHADEMA kuadhimisha siku ya wanawake

    Hata ukisikia litakuwa katazo la maigizo,Boss hapewi masharti
  3. Tunguja

    JamiiForums Tanzania Sina tatizo la tezi dume wala sukari,Ila nakojoa sana siku,nikila mboga aina fulani tatizo linaisha

    Miaka kadhaa liyopita nilikuwa nikiishi na mwanamke ambaye alikuwa na tatizo la kukojoa mara kwa mara usiku na mchana,nilidumu naye kwenye mahusiano miaka minne tu tukaachana. Miaka mitatu baada ya kuachana (2023 ) na mimi nikajikuta nina tatizo lile lile lake, tofauti yetu ni moja tu mimi...
  4. Tunguja

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hatua zisipochukuliwa kuna hatari siku ya uchaguzi ikawa siku ya aina yake. Watu hawatajitokeza kupiga Kura hasa maeneo ya mijini

    Balozi keshashema tayari tumeshapiga piga kura kupitia vitambulisho vyetu, tunasubiri tu matakeo ya ushindi wa kishindo kwa chama pendwa CCM
  5. Tunguja

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Samia mna ugonjwa wa akili. Mtu mwenye akili timamu anawezaje kuaminishwa mtungi wa gesi asilia unauzwa chini ya dola 1 ?

    Walioshangilia baada ya kuahidiwa matrekta milioni kumi unawazungumziaje?
  6. Tunguja

    JamiiForums Tanzania PolePole kuzungumza na Umma kesho tarehe 1/9/2025 saa 3 usiku.

    Gwajiboy hoi taabani,huu mchezo amwachie Polepole tu
  7. Tunguja

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kampeni za Mgombea Urais wa CCM zapotea Mitandaoni, inadaiwa Chanzo ni Bomu la Polepole

    Alishawaambia mkishupaza shingo tusije tukalaumiana wakambeza,haya sasa!! Kakinukisha haswa
  8. Tunguja

    JamiiForums Tanzania Watu smart na wenye pesa hawapo kama mnavyodhani. Kikwete hatawajibu

    Usimpangie akitaka atasema na asipotaka hatasema ,ni maamuzi yake mwenyewe.
  9. Tunguja

    JamiiForums Tanzania Watanzania kwa Umoja wao waidharau Tume ya Uchaguzi, Waamua kutopiga Kura

    Kwakuwa Shujaa wa Taifa Polepole katusanua nitapiga kura ya udiwani tu.
  10. Tunguja

    JamiiForums Tanzania Watanzania mnisamehe simsamehi Polepole, nikimsamehe Lissu risasi itamtoka mgongoni? Ben Saanane, Mawazo, Azovory Gwanda watafufuka?

    Sawa usimsamehe Polepole aliyetubu dhambi zake,Wasemehe wanao endelea kutenda dhambi
  11. Tunguja

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unapata wapi ujasiri wa kumwacha kwa kashfa Mpenzi wako ambaye ana picha zako zako utupu?

    Hukumu yake ni kifo huko polisi/Mahakamani?
  12. Tunguja

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unapata wapi ujasiri wa kumwacha kwa kashfa Mpenzi wako ambaye ana picha zako zako utupu?

    Sijakwambia nina picha za mtu
  13. Tunguja

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unapata wapi ujasiri wa kumwacha kwa kashfa Mpenzi wako ambaye ana picha zako zako utupu?

    Unasema hazidumu vichwani mwa watu halafu hapo hapo unamtaja Amba luti,hizo za Ambaluti zimedumu kwenye masikio yako?
Back
Top Bottom