Taasisi zinazotoa tuzo hizo zinazingatia vigezo gani ili kumpa mtu tuzo? Ukweli nchi yetu inahitaji reforms katika kila eneo. Itoshe kusema tupate katiba mpya na bora.
Huduma mnazotoa haziridhishi, na hii hutokana na usimamizi mbovu, mnakatisha watu tiketi na kuwajaza vituoni kwa zaidi ya saa nzima na wakati mwingine unakuta magari yamepaki pembeni. Pia mabasi yanajaza watu mpaka kero, boresheni huduma iakisi na kuendana na jina halisi ya mabasi yaendayo haraka.
"SISI ni watu wa AMANI, SISI ni watu wa AMANI. Hatutapiga mtu, hatutaibia mtu, hatutamfanyia mtu vurugu. Hatutakubali KUPIGWA. Hatutakubali kufanyiwa VURUGU. Hatutakubali KUIBIWA. Hatutakubali KUONEWA. Tunataka UCHAGUZI HURU na wa HAKI. Tutakubali, tutakubali tukishindwa kwa HAKI".
Haya ni...
Ajenda ovu ni zipi zaidi ya miccm kuingia mikataba ya kinyonyaji kwa rasilimali za Taifa na wawekezaji mnaowaita mabeberu?
Sent from my H8216 using JamiiForums mobile app
Kwa akili yako ndogo unasubiri usikie tume shtakiwa MIGA, nikupe pole sana we MATAGA. Kwanza unaelewa maana ya neno MIGA? Tuanzie hapo kabla hatujaenda mbali. Kwa kifupi tu ni kwamba tayari tuna makesi kibao huko MIGA. Haya naomba uelewa wako juu MIGA Convention.
Toka tupate uhuru mwaka 1961 mpaka sasa CCM ndo wametawala nchi, uwizi wa rasilimali zetu hasa madini zimefanyika ndani ya bunge kwa kura za ndiooooo toka kwa wabunge wa CCM wakipitisha mikataba ya kinyonyaji dhidi ya rasilimali za Taifa, Lissu ni mzalendo namba moja wa Taifa hili, mara zote...
Mmeleta maendeleo hadi kufikia uchumi wa kati, hofu yenu inatokana na nini hasa? Wapiga kura ni mabeberu au wananchi? Simameni mueleze ujenzi wa barabara, reli, madaraja na ndege then wananchi waamue. Acheni cheep politics nyie wasengerema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.