Recent content by Tumbo La Kioo

  1. Tumbo La Kioo

    Kwa Wanayanga: Nini Kifanyike ili Yanga icheze Fainali ya CAF Champions League msimu ujao

    Good! seems upo vizuri upstairs mpira ni uwekezaji kama biashara nyingine kudos!!!
  2. Tumbo La Kioo

    Kwa Wanayanga: Nini Kifanyike ili Yanga icheze Fainali ya CAF Champions League msimu ujao

    kuna makosa madogo wanafanya ni kama wana overconfidence but still ni team bora sana!
  3. Tumbo La Kioo

    Wake zetu kutunyima, hii ina maana gani?

    inakatisha tamaa sana kwa vijana tunaotaka kuingia huko na matarajio ya wengi ndoa ni sehemu salama but i doubt!!
  4. Tumbo La Kioo

    Wauza na Wanunuzi wa Viwanja, Nyumba, na Mashamba

    please weka vipimo kwa square meter mkuu hivyo vipimo vyenu vya miguu ni changamoto!
  5. Tumbo La Kioo

    Tupeane connection za mashamba/viwanja vya gharama nafuu

    umewaza nn mkuu ila upo sahihi mjini uchelewi kuwa fursa vp tupeane connection kaka nahitaji shamba boss wangu!
  6. Tumbo La Kioo

    Punyeto imeua uume wangu

    anachangamsha forum huyo nahisi ni mufindi hii!!!
  7. Tumbo La Kioo

    Tupeane connection za mashamba/viwanja vya gharama nafuu

    Vp mkuu una connection yoyote mkuranga na bei zinaendaje kwa upande huo coz naona kidogo una uzoefu mkuu!
  8. Tumbo La Kioo

    Natafuta kiwanja Kibaha cha Tsh. 1m

    Vipi ulifanikiwa kupata mkuu na bei zinaendaje coz nahitaji kiwanja pia kwa upande huo ila naona madalali wanapandisha sana bei ili kupata faida kubwa!!
  9. Tumbo La Kioo

    INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

    Mkuu habar vp una westpoint multicooker na bei yake iko vipi?!
  10. Tumbo La Kioo

    Tupeane connection za mashamba/viwanja vya gharama nafuu

    mkuu habari yako vp ulifanikiwa kupata mteja?!
  11. Tumbo La Kioo

    Natafuta kiwanja Kibaha cha Tsh. 1m

    Mkuu nina eneo hapo mzenga pia hicho kiwanja chako kipo sehemu gani exactly na unauza kama shamba au kiwanja?!
Back
Top Bottom