Hizi ili shirika la Air Tanzania limekuwaje?...., mbona sikuhizi mmeota mapembe?....., yaani sikuhizi kwenda airport na kuondoka kwa muda muwafaka nikitu ambacho hakiwezekani....., last week kutoka Mwanza, ndege iliyopaswa kuondoka saa 3:10 usiku siku ya Ijumaa ndege ilichelewa kwa zaidi ya...