Kma aliye pewa kapewa mbona wanahangaika kutaja wasio na vigezo amq wanafunz nq wafanyakaz hewa....aliyepewa kapewa ndio lakini je kapewa kihalali? Hilo ndo swali.
So sad! Sikuwah kufikiria kma hili kundi lilisababisha majanga kma haya by the way mwaka 1990 nlikua hata sijazaliwa na nakumbuka nikiwa mwaka wa pili 2015 mwalimu wangu Mr. Charles Irigo alitudokeza kiasi kuhusu kundi la PUNCH na INSIDERS. So sad kwakweli......RIP LEVINA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.