Hivi tunatumia akili au na sisi ni siasa tu. Kama aliuwawa na kuna dalili hizo, unahitaji degree ya sheria kujua mtu yeyote akiuwawa ni lazima ichunguzwe. tutumie akili. Hata kama familia inaumia ni jukumu la serikali kuchunguza.
Sielewi hili swala lina uhusiani gani na dini, kabila au mkoa anaotoka. Watanzania ni waoga kutafta haki zao. Asante kwa ujasili uliouonyesha. Kama specialist uliinvest muda mwingi kwenye fan. tunahitaji viongozi wenye upeo kama wewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.