Makamu wa Rais wa Chama Cha Madaktari ajiuzulu wadhifa wake na kujiunga CHADEMA

Tuna shida na madaktari sana kama nchi, lakini pia hawa wachache waliopo wanapewa mkopo asilimia 100 ukiacha ukaenda kwenye siasa hilo halikubaliki,lazima tuwe wazalendo kwa nchi yetu..

Kwa Kabangila, haikubaliki, ila kwa Ndugulile, Kigwangala, Mwinyi, Seif, Sarungi inakubalika kuacha udaktari!
Halafu unakumbuka wkt wa Mgomo Rais alisema hawezi lipa mshahara wanaotaka madaktari, na kwamba watafute Mwajiri mwingine anaeweza kuwalipa?
Kwa taarifa yako, 40% ya madaktari hawatibu kwa sasa, na hutasikia wagome tena, wanafanya tu mambo mengine na kupiga pesa. Halafu mi nilidhani wamesomeshwa bure, kumbe mkopo kwa 100% ambazo wanakatwa karibu laki kwa mwezi, halafu leo uwasimange kwa lipi?
 
Sielewi hili swala lina uhusiani gani na dini, kabila au mkoa anaotoka. Watanzania ni waoga kutafta haki zao. Asante kwa ujasili uliouonyesha. Kama specialist uliinvest muda mwingi kwenye fan. tunahitaji viongozi wenye upeo kama wewe.
 
Amethibitisha kuwa CHADEMA ndio walikuwa nyuma ya Migomo haramu ...

Yaani migomo ya kudai mazingira mazuri ya tiba kwa wagonjwa wanaolala kwenye corridor,akina mama wajawazito na watoto ni haramu!?Ila ubakaji wa watoto,uuaji tembo/ujangili,uuzaji wa "unga" ndio halali sio!?
BOGUS!

KARIBU CHADEMA TUJENGE NCHI YETU!
 
Back
Top Bottom