Recent content by tukunyema

  1. tukunyema

    JamiiForums Tanzania LATRA na Askari wa Usalama Barabarani, mlichokifanya hapo Bomang'ombe si sahihi kwa utalii

    TRA, POLISI, LATRA na Wizara ya maliasili na utalii endeleeni kukaza hivyohivyo mpaka wote wakatie vibali.. Haiwezekani nilipe dola 500 TALA, Dola 50 LATRA, na hela kibao TRA, Alafu nyie hamjalipia kote huko na mnataka mfanye biashara bila vibali, eti kisa mnabeba wazungu.. Hiyo haiwezekani...
  2. tukunyema

    JamiiForums Tanzania LATRA na Askari wa Usalama Barabarani, mlichokifanya hapo Bomang'ombe si sahihi kwa utalii

    Tatizo lenu hamtaki kufanya biashara kihalali, mna noah na Alphard za private, hamjakatia TALA wala LATRA, Mnataka mfanye kazi kwa uhuru.. Hamuoni kuwa hamuwatendei hakibwale wanaofuata vigezo vyote? Hao wazungu mkienda kwao wanaheshimu sana sheria, wakifika huku mnavunja sheria kisingizio eti...
  3. tukunyema

    JamiiForums Tanzania hii ni hatari

    hawa jamaa nahisi wana masihara na maisha
  4. tukunyema

    JamiiForums Tanzania Majibu ya kupewa mkopo wizara yajibu

    Hongera mkuu kwa kazi nzuri!
  5. tukunyema

    JamiiForums Tanzania jamaan diploma holders

    tumepigwa chini,wachache sana ndio wamepata
  6. tukunyema

    JamiiForums Tanzania Is this a reason why u ddnt secure a loan?

    mi nipo hapo kwenye equivalent applicant!
  7. tukunyema

    JamiiForums Tanzania Kibonzo kilichowaponza machalii kitaa...!!

    aaaaaahhaaaahhh!nimeipenda hiyo
  8. tukunyema

    JamiiForums Tanzania Waliomaliza Diploma 2013 kukosa Mkopo: NACTE wawalaumu HESLB?

    watu wa DIT,ATC na MUST ni majanga karibu wote tumekosa
  9. tukunyema

    JamiiForums Tanzania which 1 is real

    duh yani huyo jamaa haoni hata huruma
  10. tukunyema

    JamiiForums Tanzania Kwanini lawama kwa HESLB tu.

    hata sijui nianzie wapi kukutukana...........*****
  11. tukunyema

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kujifunza uchawi!!!

    sasa kaka mchawi,hivi mnawezaje kukesha usiku kucha afu asubuhi hata hamsinzii?
  12. tukunyema

    JamiiForums Tanzania Kukosa mkopo+jkt+umasikini..mmeni encourage kukaba na kufanya matukio makubwa

    sio makosa yako,ni makosa ya heslb!
  13. tukunyema

    JamiiForums Tanzania Heslb uozo mtupu...

    Dah mi hadi leo cjaelewa bado,wameangalia vigezo gani kutoa mkopo.
  14. tukunyema

    JamiiForums Tanzania Majibu ya bodi kwa waliokosa mkopo

    majangaa mbona majangaaa
  15. tukunyema

    JamiiForums Tanzania Heslb makuzi kweli

    dah yani hapo ndo nazidi kuchoka
Back
Top Bottom