Recent content by tukolive

  1. T

    JamiiForums Tanzania Jumapili Tunaenda Kushukuru Mungu Kanisani kwa Mwamposa!

    ... ndio
  2. T

    JamiiForums Tanzania Jumapili Tunaenda Kushukuru Mungu Kanisani kwa Mwamposa!

    Umetapeliwa nini? tuache tukashukuru Mungu Kwa ushindi huu Kwa maana.... katika "nchi hii" mna mtu wa Mungu, naye ni mtu mwenye kuheshimiwa; yote asemayo hutukia kweli kweli; basi, twende huko; labda yeye aweza kutuambia habari ya safari yetu tunayoiendea.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Jumapili Tunaenda Kushukuru Mungu Kanisani kwa Mwamposa!

    JUMAPILI TUNAENDA KUMSHUKURU MUNGU KWA MWAMPOSA!" Mashabiki wote wa Simba Sports Club, ushindi wetu si wa kawaida – ni wa kiroho! Ni lazima tumrudishie Mungu utukufu kwa neema, nguvu na ushindi aliotujalia. Jumapili hii (Tarehe 13 Aprili, 2025) Mahali: Kanisa la EFATHA, Ubungo – Dar es Salaam...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Najiuliza tu, Mkuu wa Mkoa anapata wapi milioni 60 kwa ajili ya michezo?

    Tafuta hela uwe na zakwako kujadili matumizi ya hela za mtu huo sio uanaume
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rudini kuoa vijijini kwenu. Hata kama umezaliwa Dar mjini nenda kule alikotokea baba/mama yako deep huko ujichukulie chombo. Shauri zenu

    2 Abraham akamwambia mtumwa wake, ambaye alikuwa mkubwa kuliko wote wa nyumbani mwake na mkuu wa vyote alivyo kuwa navyo.”Weka mkono wako chini ya paja langu 3 na nitakufanya uape kwa Yahwe, Mungu wa Mbingu na nchi, kwamba hutampatia mwanangu mke kutoka kwa mabinti wa Wakanaani, miongoni mwao...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ndizi mchemsho wa nyama na njegere

    Kuna kitimoto
Back
Top Bottom