Mara nyingi imekua ni kawaida kusikia kuwa mama mwenye mtoto mdogo akiganya mapenzi na mtu baki au hata baba wa mtoto bila utaratibu maalumu, mtoto huweza kuathirika(kubemendwa). Je sababu ni nini kisayansi juu ya hii dhana? Nini hutokea?
Mpenzi wako ambaye mmeshakua nae kimapenzi baadae akaamua kutumia kigezo cha kukupiga stop kukutana tena mpaka upeleke mahari kwao ni sahihi? Na hamjakutana kwa miezi 7 au 8.
Sawa mkuu nimekuelewa. Je namna gani una establish hzo plan? imekua kama ndoto kuona mradi flani kichwani, nyumba nzuri n.k . Unajitahidi hiki ama kile kakipato kanakuangusha husimami wenye nguvu wananyakua hata kile kidogo ulichonacho. Hatari!
Umefanya kazi ya kuajiriwa miaka kumi, ukijumlisha, kutoa, kuzidisha huoni ulipotoka umefanya nini cha maana wala mbeleni hakuna muujiza wowote. Huna ulichoshika mkononi na unataka kuacha kazi maana imefika mahali kuacha kazi na kuendelea yote ni sawa tu. Busara hapo ni nini? Maana msongo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.