Recent content by tuisenge

  1. T

    JamiiForums Mdudu ndani ya kichwa cha mbuzi kazi yake ni nini?

    Kitaalam inaitwa miasisis Kitaalam inaitwa brain myiasis ni accidental growing ya ya mdudu katika sehemu isio yake Kwa mfano binadam pia humtokea puan, kwenye ngoz, kwenye vidonda, masikion katika utumbo au sehem yyte ambapo kimelea cha mdudu kitafikia na kuruhusiwa na mazingira yaliyopo...
  2. T

    JamiiForums Mke wangu pasua kichwa

    Ukichoka niletee
  3. T

    JamiiForums Rais Magufuli: Nimeidhinisha shilingi bilioni 147 mikopo ya wanafunzi, nitashangaa wanachuo wakihangaika

    Fanya kazi umaskini utauskia region [emoji243]
  4. T

    JamiiForums Mtu yeyote anayewaza kuoa au kuolewa katika kizazi hiki ni mpumb...vu...

    Ni sawa lakini cha mchina ndo kama hicho ulichokipata kipo cha mjerumani usiwe na haraka
  5. T

    JamiiForums Mtu yeyote anayewaza kuoa au kuolewa katika kizazi hiki ni mpumb...vu...

    Mshukuru mungu kwa kukuwezesha kuachana nae pia tambua kila kitasa kina ufunguo wake hivo utapata kitasa chako tu keep on focussing
  6. T

    JamiiForums Mtu yeyote anayewaza kuoa au kuolewa katika kizazi hiki ni mpumb...vu...

    Pia nakukumbusha soma mithali 5 itakusaidia ufaham siyo kila mwenye uke ni mwanamke
  7. T

    JamiiForums Mtu yeyote anayewaza kuoa au kuolewa katika kizazi hiki ni mpumb...vu...

    Uskate tamaa mtegemee mungu pia usimpende mke kwa sababu ya uzuri wake utakosea sana
  8. T

    JamiiForums Mtu yeyote anayewaza kuoa au kuolewa katika kizazi hiki ni mpumb...vu...

    Kiufupi mpumbavu ni yule uliyekutana nae na kwa aajili ya upumbavu wako akakushawishi kwa uzuri wake.
  9. T

    JamiiForums Mauaji ya Polisi: Mwigulu azungumzia vilivyohisiwa visababishi vya sintofahamu hiyo

    Ahsante ustaadh. Inshaaalah Mungu yupo nawe umeeleweka
Back
Top Bottom