Recent content by tufikiri

  1. T

    Mbunge wa Nkasi mh. Ally Kessy asema Wazanzibar wanachosha, ni mzigo

    Kuweka kumbukumbu sawa: aliyeomba mwongozo sio Mh. Chombo, CCM bali ni mh. Mussa Kombo, CUF
  2. T

    Mganga wa kienyeji (Prof. Maji Marefu) akaimishwa Wizara ya Afya

    Hivi huyu nae ni great thinker kweli? Sasa huyu na Maji Marefu nani ana afadhali katika uelewa?Maana angalau huyo Maji Marefu alijua alichokua anasoma kuliko wewe unaembeza hata hujui alichokuwa anasoma. Hivi Mbunge anaweza kukaimishwa Uwaziri(Mbunge na serilkali ni mihimili miwili tofauti)...
  3. T

    Lowassa amponza Kibanda: Taarifa za awali zahusisha kutekwa na urais 2015

    Na hili pia aulizwe Wilfred Rwakatare, Kiongozi wa Mipango ya Mauaji
  4. T

    Jina la Said Nassor Bagaile ndiye Hamis Andrea Kigwangalla?

    Uzi wako umedhihirisha wewe ni pumba kuliko huyo unae mjadili.
  5. T

    Hawa ndo wasiokubalika kwa kauli zao

    11.Rose Kamili (kuibiwa mume) 12. Mnyika (Mwigulu alihusika EPA akiwa mwanafunzi) 13. Tundu Lissu (Majaji ni makanjanja huku ni mabosi wake)
  6. T

    Urais 2015: Tundu Lissu atafaa zaidi CHADEMA

    Ha ha ha! Unafananisha uendawazimu na ujengaji hoja. Mawazo yako yanasawiri upeo na akili yako
  7. T

    Spika akalia kuti kavu

    Nadhani angekufa mama yako ndio ungeona ni sawa kuomba kuahirisha shughuli za bunge.
  8. T

    Zitto, Makamba wautaka urais?

    Lack of credibility
  9. T

    Mh. Kikwete fanya kazi, acha kutumia watu kumchafua Lowassa

    Pitia kwanza thread yko uedit. Wewe kuandika tu hujui, mambo ya urais utayajuaje?
  10. T

    Wajue MADIKTETA 11 wenye vituko

    12. Julius Kambarage Nyerere, aliyekaa madarakani muda mrefu akidhani hii ni nchi ya wazanaki pekee. Aliua wote wanaompinga na wale wanaopingana na ukatoliki. Aliiacha chi kwenye umasikini kipindi hicho cha 1980,s kwa kisingizio cha kung'atuka.
  11. T

    Wajue MADIKTETA 11 wenye vituko

    Hata yule unamuamini na kumuamudu alidhalilishwa MSABANI na Mayhudi na kuburuzwa na Msalaba wake. Wewe mgalatia usie na akili naini kakuroga?
  12. T

    Naacha rasmi kununua na kulisoma Tanzania Daima hadi wazidishe uzalendo wao kwa Tanzania

    Wewe hujui tu kwa nini makala hio imesitishwa. Inaelekea kuelezea ukweli juu ya wapiganiaji halisi wa uhuru wa nchi hii, tena watu wenyewe ni wa dini fulani! teh teh! Mzee wa lower ameiban makala hiyo, wala sio mhariri wa gazeti.
  13. T

    Dr Kitila Mkumbo for CHADEMA Presidency!

    Hizi ni dalili za kukata tamaa na maisha.
  14. T

    Bernad Membe Ole Wako Utie Mguu Wako Hapa New York, Tutakuzomea Kabla Ndege Haijatua!

    Hili ni tamko lako binafsi, usiseme sisi........ Unaonekana kuwa na chuki binafsi tu na Uislam. Ukisema dunia nzima imemshangaa Membe tena eti mseminari aliye potoka huo ni usenge, kwa kuwa kuuawa kwa Gadaff hakuna uhusiano na Uislam. Acheni udini, washamba nyie.
  15. T

    Zitto, Makamba na mwakilishi wa TANESCO ndani ya mdahalo wa Star Tv

    Siku zote nyie ndio mnasababisha chama kionekane ni cha upande watu wa upande fulani, Hivi mnachohoji kuhusu Zitto ni nini? Hivi mnyika ni nani? Hivi nani asiyejua kuwa zitto n M/kiti wa Kamati ya Mashirika ya Umma ambayo TANESCO ni mojawapo? Hivi ni kukosa uelewa au ni makusudu tu ya...
Back
Top Bottom