Recent content by tufahamishane

  1. tufahamishane

    Siasa safi huleta amani na maisha bora

    Siasa safi lazima isababishe ya fuatayo 1: siasa safi itazaa tunda la Amani 2:Siasa safi itasababisha uchumi wa nchi husika Julia 3: Siasa safi inaruhusu Uhuru wa kujieleza 4:Siasa safi itaruhusu Uhuru katika Mahakama na vyombo vya habari Siasa safi ni ustawi wa nchi na siasa safi nizao la...
  2. tufahamishane

    PreGE2025 Polisi yapiga marufuku maandamano ya CHADEMA yasema ni haramu. Yasema chama hicho kimekuwa kikipanga mikakati ya kuchochea vurugu

    Kabla sijauliza swali naomba ni wapongeze police wetu. Wamegundua kuwa maandamano ya chadema ya tavulugha Amani. Hata kabla haya jafanyinka sasa naomba kuuliza ma swali mawili tu 1: Kwanini wasitumie hiyo interenensia iliyogundua maandamano ya chadema ya kuwa yataleta fujo kabla ya kufanyika...
  3. tufahamishane

    Tusome wote Biblia Takatifu kwa sauti kubwa

    Mwanzo 9:6 Inasema Atakayemwaga damu ya mwanadamu, damu yake huyo itamwagwa na mwanadamu, maana kwa mfano wake Mungu alimfanya mwanadamu.
  4. tufahamishane

    Hii siyo Tanzania tunayoihitaji

    Ndugu zangu wa Tanzania tumuombe Mungu aturejeshee Tanzania Yetu tuliyokuwa Mayo 1: Tanzania itakayothamini na kuheshimu utu wa watu wote 2: Tanzania itakayothamini na kuheshimu uhai wa watu 3: Tanzania isiyowazuia watu kuongea na kujadili Hali ya nchi Yao bila hofu ya watu kutekwa 4: Tanzania...
  5. tufahamishane

    DOKEZO Serikali chunguzeni kinachoendelea Baraza la Ardhi na nyumba Wilaya Nyamagana Mwanza

    Mkuu Asante summos zipelekwa na Dalali wa mahakama ambaye wamemusajili. Na zinaambatanishwa na kiapo. Kuna mengi ya kueleza juu ya hayo Ila ngojea muda utaongea
  6. tufahamishane

    KERO NEMC na Serikali za Mtaa, Wilaya ya Ilemela mmeshindwa kudhibiti kelele?

    Sijaona mahali ambapo misikiti imetajwa maana Hao ndio vinara wakelele wameweka mpaka vipaza sauti
  7. tufahamishane

    DOKEZO Serikali chunguzeni kinachoendelea Baraza la Ardhi na nyumba Wilaya Nyamagana Mwanza

    Muda si mrefu nitaweka vielelezo halisi vya ukiukaji mkubwa wa sheria
  8. tufahamishane

    Yaani uchaguzi haujafika wanalia wataiibiwa?

    Najaribu kuwaza na kufikilia unampaje mtoto jina hata hanazaliwa? Wanasiasa wa Tanzania ni watu wenye vituko kuliko. Yani uchaguzi haujafika wanalia wataiibiwa. Hivi munaiibiwaje kabla kura hazijapigwa? Wanasiasa wa Tanzania 🇹🇿 munatuaibisha. Na wapa ushauri ingieni vijijini mkauze Sera zenu...
  9. tufahamishane

    Kosa la Polisi Mbeya ni lipi?

    Tumeshuhudia la wama nyingi katika mitandao ya kijamii wa kilaumu polisi mbeya kwa kuwatia nguvuni viongozi wa chama cha CHADEMA. Hivi ukiwa mpinzani ukikosea hutakiwi kukamatwa? Tanzania tunatakiwa kujipongeza kwa kuwa na jeshi imara na wanao jua kazi zao. Je, mnataka Yale ya Kenya ya je hapa...
  10. tufahamishane

    Marekani imetuma Wanajeshi 4,000 nchini Israel

    Huyo Rais wa Iran akicheza anamfata mwenzake sasa hivi wale wa yahudi wanapiganiwa na Mungu
  11. tufahamishane

    PreGE2025 Kumbe RC Makonda yuko Likizo, Uzushi kwamba anaumwa upuuzwe

    Hili nijambo muhimu na linalo leta hisia Kali kwenye mioyo ya watu. Jambo ni moja tu makonda yuko wapi? Wako wanao tamani apotee kabisa. Wako wanaoomba hata kusikia tu makonda yuko wapi Tu naomba familia ya makonda watokee watutulize mioyo yetu. Au viongozi waselikari watokee waseme...
  12. tufahamishane

    Yuko wapi Makonda? Kwanini Serikali mnaruhusu hali hii?

    Kwanza natanguliza samahani. Nimeona clip nyingi YouTube zikizungumza habari ambazo hazina Arya juu ya Arya ya makonda Inasemekana kwa week mobile RC makonda hajaonekana hadharani. Kama kuna mtu ana uhakika na habari hizi au anajua huyu kipenzi cha wa Tanzania alipo atujuze
  13. tufahamishane

    Mbona sisikii tena kauli mbiu ya Hapa kazi Tu?

    Hivi ile kauli mbiu ya awamu ya Tano hapa kazi tu ilienda wapi ilifia wapi? Mbona siku hizi siisikii popote? Hii kauli mbiu hapa kazi tu iliasisiwa na kipenzi cha wa Tanzania JPM ili kuwa kauli ya uhamasishaji na waliitendea kazi kweli kweli. Jamani anayejua ilipo ajitokeze a niambie hapa kazi...
  14. tufahamishane

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Ni siku ni miezi ni miaka toka Rais Magufuli atuachie pengo kubwa lisiloweza kuzibika mpaka Yesu arudi Waliokuwa wanamchukia sasa wana mtamani. Kila mtu ana mkumbuka Magufuli na kila mtu angetamani Magufuli arudi Ila haiwezekani tena tumebaki kulia
Back
Top Bottom