Recent content by Tubhuke

  1. Tubhuke

    Shetani aliamua kuasi au aliumbwa kuwa muasi?

    Asingekuwepo shetani, dunia ingekaa katika usafi mno kama vilevile ilivyokuwa kabla ya Adamu kudanganywa. Ni kweli pia, shetani ni mtumishi wa Mungu katika kuonyesha upendo wa Mungu ndani ya wanadamu. Maana anayeleta majaribu kwa watu ni shetani na ili imani yako ikue basi inabidi ushinde hilo...
  2. Tubhuke

    Shetani aliamua kuasi au aliumbwa kuwa muasi?

    Kutokana na Biblia, shetani aliumbwa kama wanadamu wote walivyoumbwa lakini pia shetani aliasi na kutupwa duniani hata kabla ya nchi kuumbwa. "Kuna mbingu aina tatu, yaani mbingu ya kwanza, pili na ya tatu. Mbingu ya tatu pia huitwa peponi yaani aliko Muumba mwenyewe. 2 WAKORINTHO 12: 2-4 "...
  3. Tubhuke

    Israeli kwa sasa inaendesha mazoezi ya vikosi vya kimataifa vya anga yanayoitwa 'Blue Flag 2021

    Kwa wanaosoma Biblia, hili linadhumuni yake. Jiandaeni ndugu zangu hizi ni nyakati mbaya. Kristo yupo malangoni anakuja kunyakua kanisa
  4. Tubhuke

    CHADEMA kumbukeni nyuma mkatubu

    Neno linaloonekana Dogo machoni pa MTU, likiongelewa na Mtumishi Wa Mungu (yaani Kristo) ogopa saana neno hilo. Changamoto mliyonayo kwenye uchaguzi ujao, muujiza wowote unaweza usitendeke kwenu, kutokana na matunda ya maneno ya baadhi yenu kuwajibu hovyo watumishi Wa Mungu.(kumbuka mtajua)...
  5. Tubhuke

    Zitto: Uchumi kudolola na kupanda kwa dola inasababishwa na kukurupuka kwenye korosho, mbinyo wa demokrasia, serikali hailipi madeni

    Ushauri mzuri saana kama hautapuuzwa na wahusika Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom