CHADEMA kumbukeni nyuma mkatubu

Tubhuke

Member
Jan 20, 2019
12
17
Neno linaloonekana Dogo machoni pa MTU, likiongelewa na Mtumishi Wa Mungu (yaani Kristo) ogopa saana neno hilo.

Changamoto mliyonayo kwenye uchaguzi ujao, muujiza wowote unaweza usitendeke kwenu, kutokana na matunda ya maneno ya baadhi yenu kuwajibu hovyo watumishi Wa Mungu.(kumbuka mtajua)

Ushauri ni huu. Kama mliwahi kuonywa, kumbuka ni wapi mlipo wahi kuonywa, mkapuuza na mtubu.

Unaweza puuza, au chukulia maanani ujumbe huu mdogo. Kazi ni kwenu

Kazi njemaa.....

Yesu anakuja.....
 
Kuna watumisbi wa mungu au matapeli
 
Embu kama una nia njema jaribu pia kumshauri polepole awaombe radhi wapinzani kwa kufuru na lugha chafu aliyotoa juu yao kwa kuwalinganisha na Korona maana asipofanya hivyo, Mungu hadhihakiwi hiyo dhambi itakitafuna chama chake taratibu na mwishowe October hawataamini macho yao kwani wataambulia aibu isiyo na mfano!
 
Hamnaga akili ya kujua mbivu na mbichi nyie
 
HIVi ukweli kuhusu kifo cha huyo mwamba ukoje? Maana kila ikianzishwa hili jambo makamanda huwa wanasinyaa kwel,lakini pia kwa jinsi ninavyowafahamu watu wa Mara kwa visasi, je haitakja imgharimu aliyefanya hayo mauaji
ILIANZA KUPOTEA BAADA YA KIFO HA UTATA CHA CHACHA WANGWE
 
Huyo mtumishi wa Mungu alipokuwa upande wa CDM kabla ya kugeukia Chama pendwa(baada ya kutishwa) CDM ilishinda Uchaguzi 2015?
Kama alimwambia Jiwe atubu kwa sababu ya kutaka kuifanya nchi kuwa ya chama kimoja,akakataa,hata CDM wasingekubali kutubu!
Huenda walimwona ni mnafiki!!
 
Hukuwa dereva alikuwa kapewa lift ili aendeshe
Wakati anapata ajali Jasusi Deus Mallya ndio alikuwa Dereva.....Je ulifatilia Nyendo zake huyo Dereva kabla ya Kuomba lift na Kumuendesha Chacha Wangwe? Kwa Undani zaidi Mtafute Rais wa TWITA GOGOKi atakusimuia yaliyojificha.
 
CHADEMA ILIANZA KUPOTEA BAADA YA KIFO HA UTATA CHA CHACHA WANGWE
Utafiti unaonesha watu wanaoandika kwa herufi kubwa huwa ni vilaza na mazwazwa.
Tukirudi kwenye hoja yako,ni kwa nini basi polisi hawajachunguza kifo chake kama kilikuwa ni cha utata.Kuanzia saidi Mwema,Mangu na sasa Sirro,wote hawaoni huo utata?Ni sawa na CAG mtaalam wa ukaguzi wa pesa kusema CDM matumizi ya pesa ni safi,halafu kuna nguchiro waliokimbia hesabu darasa la 6 wanamtuhumu kwa kuiba pesa.Vioja kama hivi nadhani huwa vipo Tanzania tu.
 
Watumishi wale wa Mungu walikuwa feki.Original hawakwenda.
Tukirudi nyuma,hoja ya kutubu unamwambia nani wakati sio wote wanaamini Mungu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom