Recent content by tst

  1. tst

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Infinix note 7 na kuendelea

    Mwenye Infinix note 7 anitafute offer yangu ni laki na 30 Morogoro mjini
  2. tst

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mzani wa nafaka

    Nauza mzani used miezi 5 Hauna tatizo lolote Mawe yote yapo Bei:130000/= Morogoro mjini 0658971481
  3. tst

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pikipiki Fekon 150CC inauzwa

    Fekoni 150cc timing chain, Haina tatizo lolote ,Unawasha na kuondoka Matunzo mazuriiiii Vibali vyote vipo Safi Bei 1.1m 0658971481 Morogoro mjini
  4. tst

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza PIKI PIKI Fekon 150cc

    PIKI PIKI Fekon 150cc ilikuwa ya kuendea kazini tu Haina tatizo lolote,Unawasha na kuondoka Bei:1.3M 0658971481 Morogoro mjini
  5. tst

    JamiiForums Tanzania Mlioomba kazi TANROADS Tabora mlishaitwa kwenye usaili?

    Simu
  6. tst

    JamiiForums Tanzania Soko la dagaa nyama mikoani

    Habari wakuu! Nina dagaa nyama wengi Sana kutoka Tanga,naomba munijuze wapi Kuna SOKO la uhakika kwenye mikoa yetuu.Pia wenye uzoefu wa biashara hii kwa mikoani.
  7. tst

    JamiiForums Tanzania Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    NATAFUTA MTU WA KUUNGANA NAYE TUFANYE BIASHARA YA MAZAO-AWE NA UZOEFU KIDOGO
  8. tst

    JamiiForums Tanzania Job Opportunities at TANROADS

    Kesho saa 2 asubuhi shule ya sekodari kibaha interview inafanyika pale
  9. tst

    JamiiForums Tanzania Nauza godoro used -5*6 inch8 Morogoro

    Godoro aina ya comfy 5`×6 inch 8 used miez 4 tu Bei ya sawa na bureee Tsh.140000/= Morogoro mjini 0789111144
  10. tst

    JamiiForums Tanzania Nahitaji pikipiki kibao cha mbuzi (HUONIAO)

    Wanajamvi nahitaji pikipiki aina ya CG kibao cha mbuzi Huoniao offer laki 6 0716423838
  11. tst

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mizani ya dukani

    Nauza mizan ya kupimia bidhaa za dukani.Haina tatizo lolote. Imepimwa kila kitu Bei:Tsh 80000 Morogoro 0658971481
  12. tst

    JamiiForums Tanzania Tupeane mchongo wa kazi kwenye bomba la mafuta

    Updates ndio mpango mzima
  13. tst

    JamiiForums Tanzania Nipo Morogoro, nauza Friji, Minzani, Frayer, Kitanda, Godoro

    Nauza mizani ya kupimia bidhaa dukani iko full na mawe yake Tsh.80,000 bei ya kutupa Frayer ya kukaangia chips haina tatizo lolote inatumia umeme mdogo sana Tsh 60000 Nipo Morogoro Mjini 0716423838 Sent using Jamii Forums mobile app
  14. tst

    JamiiForums Tanzania Nipo Morogoro, nauza Friji, Minzani, Frayer, Kitanda, Godoro

    Haipungui hapo,dukani inauzwa 120 Sent using Jamii Forums mobile app
  15. tst

    JamiiForums Tanzania Nipo Morogoro, nauza Friji, Minzani, Frayer, Kitanda, Godoro

    Used Frayer ya kukaangia chips inatumia umeme tsh.60,000/= Mizani yakupimia bidhaa dukani tsh.80,000/=haina tatizo lolote Nipo Morogoro Mjini 0716423838 Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom