Moment of silent
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 1,054
- 1,782
Ameen, mimi nliomba hz za chuga tuDah tuombe Mungu mkuu wiki ijayo watupigie simu tuwe miongoni mwa watakaoitwa
Ameen, mimi nliomba hz za chuga tuDah tuombe Mungu mkuu wiki ijayo watupigie simu tuwe miongoni mwa watakaoitwa
Mkuu inaonekana bado nadhani labda wanasubir mwaka uishe huuHivi hawa jamaa hawajawapigia watu simu kwa ajili ya interview??
Inawezekana nduguMkuu inaonekana bado nadhani labda wanasubir mwaka uishe huu
Unauliza swali au ndio washaanza kuita??Tanroad-Pwani washaanza kuita watu
Wameanza kuita watu lini?Tanroad-Pwani washaanza kuita watu
Nasikia pwani wamewapigia watu simu na interview kesho kaka ninavyosikiawashaanza
Thanks kwa taarifa, cjui Arusha tuNasikia pwani wamewapigia watu simu na interview kesho kaka ninavyosikia
Kesho saa 2 asubuhi shule ya sekodari kibaha interview inafanyika paleNasikia pwani wamewapigia watu simu na interview kesho kaka ninavyosikia
Hawa Tanroad cjawai kuitwa na hii Pwani ilikua Mara yangu ya 4Wameanza kuita watu lini?
Daah cjui huwa tunakosea wapi yaan, mie waliwahi kuniita mara moja tu, subr niangalie na hii ya Arusha kama wataniita ikiwa kama bado hawajaanza kuita watuHawa Tanroad cjawai kuitwa na hii Pwani ilikua Mara yangu ya 4
Kuna Engineer Leo nilikua nae anasema tatizo langu mm Naomba Weighbridge Operator, kweny CV Nimeweka update or degree kwahiyo nakua na qualification kubwa inafaa niweke CV ya diploma bila kuongeza Kitu. Me naweka degree nakoseaDaah cjui huwa tunakosea wapi yaan, mie waliwahi kuniita mara moja tu, subr niangalie na hii ya Arusha kama wataniita ikiwa kama bado hawajaanza kuita watu
Hiyo kweli mkuu inawezekana maana hata mimi nina degree ila safar hii nimeiondoa degree imebakia diploma tu, ndio niko katika kusubiriaKuna Engineer Leo nilikua nae anasema tatizo langu mm Naomba Weighbridge Operator, kweny CV Nimeweka update or degree kwahiyo nakua na qualification kubwa inafaa niweke CV ya diploma bila kuongeza Kitu. Me naweka degree nakosea
All the bestHiyo kweli mkuu inawezekana maana hata mimi nina degree ila safar hii nimeiondoa degree imebakia diploma tu, ndio niko katika kusubiria
Unaiondoaje Qualification mkuu kwenye Ajira Portal?Hiyo kweli mkuu inawezekana maana hata mimi nina degree ila safar hii nimeiondoa degree imebakia diploma tu, ndio niko katika kusubiria
Kwa ajira portal huwezi kuondoa qualifications nazungumzia hizi za tanroads za kutuma kwa njia ya postaUnaiondoaje Qualification mkuu kwenye Ajira Portal?