Tupeane mchongo wa kazi kwenye bomba la mafuta

Dolar za kutosha ukiingia kwenye huo mkondo ni mavumba tu
Tuvute subira maana bado kuna mvutano mkubwa sana kati ya wanamazingira na kampuni ya Total..
Benki kubwa za ulaya hasa ufaransa wamegoma kutoa mikopo kwa total kwa ajili ya kufadhili huu mradi, ngoja tuone mwisho wake utakuwaje
 
Sasa hao wadau walishindwa kuweka mambo sawa kwanza? Kwanini wamesaini halafu ndio zengwe linaanza? Wamalizane tuanze kujenga mradi tupate ajira.
 
Back
Top Bottom