Siongelei mambo ya ushindani ,naongelea vigezo vilivyowekwa na tcu guide book kuhusu kusoma udaktari,swala la mtu kuwa na one na kukosa nafasi ni swala la ushindani but vigezo unakuwa navyo ,ndivyo ilivyo Kwa mtu mwenye D3 kukosa udaktari si kwamba Hana vigezo Bali ni ushindani tu ndo umemtoa...
Kwn kusoma MD si kuanzia D3 Yani phy,chem,bios Kwa advance,vyuo kama hubrt,bugando ni hela yako tu kikubwa uwe na kuanzia D kw Kila soma na kumbka D ni 50 advance so sio kizembe kizembe ujue
D 3 phy,chem na bios,hivyo ndo vigezo vya diploma ya udaktari.maana ukisoma diploma ya CO ndo unaruhusiwa kusoma ni MD ko ni sawa tu ukisema ndo diploma yake
Tamaa ya hela kivp kweni we hulipwi,Kila anaesoma kozi lazma aangalie na maslahi pia wito ni sehemu ya kazi na ko siyo afya tu ,Cha msingi we jaribu kuonyesha ipi ni kozi inayoweza kufaa zaidi Kwa kuajiriwa au kujiajiri siyo usome half uje kuzurura mtaani
Wakuu ule msemo wa usikosee kozi ya kusoma unanitesa nipo njia panda je kozi ipi nzuri ya afya ya kusoma kati ya hizi :-radiology, pharmacy au medical lab
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.