kwani darasa aliendelei mkuu rakims.mi nipo hapa kenya nafuatilia kimya kimya bt meditation imekuwa ngumu sana kufanya hapa nairobi.ata kuwa usiku vipi bado kelele zitakuwa,honi za magari,reggea club,maneiba kugegendana n.k.t.bt
niko na vibration mingi na sijawahi fanya meditation.mara kwa...