Recent content by Trustme

  1. Trustme

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo vijana wa Lowassa waliokamatwa na Polisi

    huu wizi huuu!
  2. Trustme

    JamiiForums Tanzania Kafulila kutinga mahakamani kutetea ushindi wake!

    Huyu analeta propaganda ili tuamin Kaulila ameshindwa!!! Unafikiri ccm ingekua imeshinda ungekuta hawajatangaza hilo jimbo???? Tunajua wapinzani wanaposhinda huwa hawatangazi hadi wakose namna ya kuchakachua ndo wanatangaza
  3. Trustme

    JamiiForums Tanzania ITV wanapotosha matokeo ya uchaguzi

    ITV hawatangazi matokea, wanasoma kilichokwenye karatasi za tume. Wanaotangaza matokeo ni Tume au huelewiii?
  4. Trustme

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa aongea na vyombo vya habari, Amesema hatokubali matokeo ya uchaguzi mkuu

    Unataka ushaidi gani, waulize ZEC!
  5. Trustme

    JamiiForums Tanzania Huwezi kufuta uchaguzi Zanzibar ukaacha Bara

    Mtulie makamnda wapo wanapanga mikakati siyo kukurupuka tu kama mnavyotaka nyie.
  6. Trustme

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa aongea na vyombo vya habari, Amesema hatokubali matokeo ya uchaguzi mkuu

    Si uchaguzi haukuwa huru na haki kama zenji ccm wakivyosema
  7. Trustme

    JamiiForums Tanzania Matokeo yanayoendelea kutangazwa na NEC yana dosari nyingi

    wameshindwa kuiba zenji wanajidai eti uchaguz haukuwa huru na haki!!! Kweli??? Kwa nin msifute tangu asubui ya tarehe 26??? Baada ya kushindwa ndiyo mnatambua haukuwa wa haki!!!! Mbona huku bara hamsemi??? Mtajutia maauzi yenu ya zenji
  8. Trustme

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa CCM Njoro Mkoani Kilimanjaro wachoma moto Ofisi ya Mtendaji

    Waaskari woote watapelekwa zenj sasa vurugu za huku bara sijui watazizuiaje zikaamka!!!
  9. Trustme

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa aongea na vyombo vya habari, Amesema hatokubali matokeo ya uchaguzi mkuu

    Cha msingi matokeo yote yafutwe hata bara
  10. Trustme

    JamiiForums Tanzania GE2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

    Hapo patamuuuuuuu! Wafue na huku bara
  11. Trustme

    JamiiForums Tanzania GE2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

    mmmh hongera Maalimu Seif
  12. Trustme

    JamiiForums Tanzania GE2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

    Kwanini na matokeo ya bara yasifutwe? au kwa sababu UKAWA wakuwa wapole hawakutangaza matokeo yao????
  13. Trustme

    JamiiForums Tanzania GE2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

    Sasa kwanini na bara wasifute matokeo au kwa sababu UKAWA wamezembea kutangaza matokeo yao!!!!
  14. Trustme

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Julius Mtatiro Segerea

    Kama kuna sehemu unaona umeonewa komaa nao, lakin pia hii iwe fundisho kwa UKAWA mnaposema mnaungana mkubaliane. Sasa angalia mmepoteza jimbo
Back
Top Bottom