Recent content by trumpCAre

  1. T

    Zitto amtembelea Lema gerezani baada ya kunyimwa dhamana

    Acha kujitoa ufahamu we kjana,even if unalipwa 7500,matusi yanayoporomoshwa na viongozi wa chama chenu dhidi ya wapinzani hailezeki!!!!!,kuanzia huyo boss wenu mpaka ninyi vibarua..acheni kuwaonea watu kisa dola inawasuport,haya mambo yanamwisho...MSIJIDANGANYE..
  2. T

    Mimi nahisi nimechapiwa wewe je?

    Yes umechapiwa,sasa unataka ufanyeje?unapomchapa,wenzio pia usema wamechapiwa...kuchapa/kuchapiwa ni jambo la kawaida sana wewe kijana...tafuta pesa kwa bidiiiii 'Mbunye' isikuaribie malengo yako.
  3. T

    Ukimfanyia haya mkeo ndoa yako itakua na furaha siku zote.

    asante sana mkuu@kijana wa leo...umetukumbusha sisi wazee wa zamani...
  4. T

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Geita Secondary(ipo Geita Mjini)nije Shule yoyote Mwanza(Nyamagana/Ilemela..kwa mawasiliano zaidi ni Pm
Back
Top Bottom