Recent content by Truly

  1. T

    MOSHI: Serikali yaifunga bar maarufu ya Meku's Bistro

    Nasikia mwenye nayo ni choko. Labda watu hawapendi hiyo mambo hivyo kutafuta sababu.
  2. T

    MOSHI: Serikali yaifunga bar maarufu ya Meku's Bistro

    Nasikia wamesitisha kuifunga leo imefanya kazi
  3. T

    MOSHI: Serikali yaifunga bar maarufu ya Meku's Bistro

    Kwani mmiliki wake ni nani
  4. T

    Nyumba inapangishwa-Buhongwa Mwanza

    Petty Marcel umepotea! ni pm tuongee biashara
  5. T

    Nyumba inapangishwa-Buhongwa Mwanza

    ntaweka picha. nyumba ni mpya na bei ni 300, 000 per month. Karibuni. Mwenye kuhitajii ani-pm
  6. T

    Nyumba inapangishwa-Buhongwa Mwanza

    NYUMBA YA VYUMBA 3 VITATU VYA KULALA, SITTING ROOM, DINING, KITCHEN AND STORE INAPANGISHWA. NYUMBA INA FENCE YA UKUTA NA GETI. KWA MAWASILIANO 0768 079190 0652-209552.
  7. T

    Mawazo yenu tafadhali: Wapi tuende au tufanye nini kusherekea miaka mi 5 ndani ya ndoa?

    Asante mkuu kwa mawazo ila sasa hiyo honeymoon iwe wapi. Mimi nipo hapa dar. Labda ungenishauri sehemu gani iende na kwa kuzingatia bajeti ni laki nne
  8. T

    Mawazo yenu tafadhali: Wapi tuende au tufanye nini kusherekea miaka mi 5 ndani ya ndoa?

    Ndoa yangu sio chungu mkuu but I said kusubiri sijui silver au golden jubilee sio leo. Why not enjoy every bit maana maisha yana changamoto zake. Na hata hivyo siju kama kuna ndoa ambayo is just sailing swiftly hamna kajiwimbi hata kidogo. Kwenye bahari kuna siku kumetulia ipo siku kuna mawimbi...
  9. T

    Mawazo yenu tafadhali: Wapi tuende au tufanye nini kusherekea miaka mi 5 ndani ya ndoa?

    Evelyn umenichekesha!!! " kesho utatuuliza tena wataka kumnunulia mkeo bra uchukue rangi hongera sana mwayego" hahahaha Kwa Zenj na huu mfungo!!!! pana ka kachangamoto
Back
Top Bottom