..ni nadra sana kutokea kwa namna hii..wao TRC hawana uwezo ku-deal na case za aina hii, wanaweza hata wao ndio mastermind wa haya maluwe luwe yanatokea..si wanalipwa, nobody cares!
..by its nature, the gov is inherently inefficient, nini kupoteza resources kwa kitu kinafahamika..tangaza tenda kwa kazi zote za huduma..usafi, mapokezi, ulinzi, kukata tiketi, mgahawa, ukaguzi nk wao TRC/serikali wabaki na jukumu la kulinda miundombinu tu na treni yenyewe..!
Watu wa usalama wa taifa ni wapumbavu..kila kitu wanaingilia, sgr hii utdhani ni mali yao..
Kwanza nafasi zote za utawala na utendaji watu waombe kwa kushindanishwa kwa usaili..pili, huduma zote..ulinzi. ndani na nje ya treni, migahawa, usafi, tiketi, mapokezi..wa-sub contract kwa makampuni...
..usiharibu hoja yako kwa kuleta madudu..
Kuweka barabara 4 si jibu, kwanza kimsingi huwezi kujenga uchumi kwa malori..bulk transport na kwa umbali mrefu kulingana na jiografia ya nchi lazima utumie treni tu..unataja mtu ambaye ndie chanzo cha uharibifu..huyo unayemtaja ameingia kuongoza bei ya...
..angalau Prof. Mbarawa mim namtetea ni mtu muungwana, bc tu yupo kwenye kundi la bundi..naibu wake s very amateur, very junior hicho cheo/nafasi ni sawa na kumvalisha mtoto wa miaka 5 shati la mtu mzima size XXL..hana attention ya kazi inavyopaswa kufanya, kwa hali ya barabarani kwa sasa...
Acheni huu ujinga, mnajichosha bure..nani aje kuweka mtaji wake mahali ambapo kuna mabishano na mafarakano kwa kiwango hiki cha sasa..? Hata Mzee Dangote kapeleka refinery Kenya kwa sabb hakuna utulivu hapa..mafarakano haya si ya kuisha kesho ni hadi pale hawa watawala wataondolewa b t kwa nguvu...
Kati ya watu wapumbavu serikalini huyu ni mmojawapo..hana akili kabisa huyu!
Unaongelea mambo ya kuitwa haramu..tafuta chanzo, mbona miaka 5 nyuma hukuitwa hivyo..unahangaika na jina unaacha kushughulika na matendo mabaya kbs ya utekaji na mauaji yanayofanywa na vyombo vya dola..mzee mjinga sana...
..sio ikulu tu ya sasa, wastaafu wote..madc, marc, maps..wote ni genge la wahuni, hasa wa kuanzia 2005 hadi sasa..
Mfano, mabeyo unatarajia ajisikie nini kwa haya yanafanyika..yeye ndie architect wa huu ujinga wote, nawashangaa sana waumini wakatoliki ku-embrace mtu wa hovyo km huyu, mnafiki...
..na nyinyi sijui akili wakati mwingine mnapeleka wapi..yaan wewe bado unawaza yupo cdf, yupi..? acheni kuita wezi majina wasiyostahili, nchi hii kuna genge la wezi lilijiweka madarakani oct. 2025.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.