Recent content by true willdad

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Daah, ghafla nimepunguziwa hamu ya kumtongoza huyu mwanamke

    Ok we mwanaume hapo ungefanyaje
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Daah, ghafla nimepunguziwa hamu ya kumtongoza huyu mwanamke

    Hapo Kuna utoto gani umeuona
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Daah, ghafla nimepunguziwa hamu ya kumtongoza huyu mwanamke

    Daah kuna situation moja imenitokea muda huu. Kuna demu fulani nilitaka nimtongoze hapa mtaani yaani jirani yetu anaitwa A  ila huyu demu ana rafiki yake ambaye amezoeana na mimi anaitwa M. Kwahiyo nilimtumia rafiki yake kuzoeana naye ili iwe rahisi kumtokea. Sasa katika harakati za kulivuta...
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usimwamin mwanamke wko hata kama ameishika dini maumivu niliopata leo sitayasahau kamwe

    Bora kakwambia mapema kuliko kukupa maumivu ya kuchapiwa
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 IEBC: William Ruto ameshinda Urais kwa 50.4% dhidi ya 48.8% za Raila Odinga

    Ruto ni mpiganaji kwelikweli japo na kutosapotiwa na Uhuru lakini ajakata tamaa
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 IEBC: William Ruto ameshinda Urais kwa 50.4% dhidi ya 48.8% za Raila Odinga

    ila uchaguzi ilikuwa wa wazi japo raila sidhani kama atakubali hii ngoma iishe hivihivi
  7. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 IEBC: William Ruto ameshinda Urais kwa 50.4% dhidi ya 48.8% za Raila Odinga

    Daah raila ndo basi tena
  8. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

    Namuona Ruto yupo mbele na mwenyekiti kashafika kutangaza matokeo
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

    Kuna mmoja nimeona kanyanyua hadi kiti ila tuwaombee
  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

    Jamani mbona wanapigana
  11. T

    JamiiForums Tanzania Shaka: "CCM haijawahi kuhofia kuondoka madarakani kwa sababu hilo haliwezi kutokea"

    Au sio kidumu chama cha mapinduzi
Back
Top Bottom