Recent content by True Thug

  1. True Thug

    Mke wangu baada ya kupata kazi na mshahara mnono ameanza kunidharau

    Sio mke tu hata mahusiano ya kawaida girlfriend wako akipata kazi utaona rangi Yake halisi. Nlikuwa siamini hili ila nilijifunza sana.
  2. True Thug

    Mwanaume akimpenda sana mwanamke husababisha uwezekano mkubwa wa kuachana

    Iliwahi kunitokea hiyo nilimpenda Sana mwanamke nliambulia tabia chafu na dharau, toka nimuache akaanza yeye kutapa tapa Mana haamini hadi Leo.
  3. True Thug

    Nimeachana na mpenzi wangu niliyedumu naye miaka 4

    Vip ulifanikiwa kumzalisha ??? Mm nishapitia kama ulivyohadithia ww na nimefanikiwa kuachana nae.
  4. True Thug

    Je, ni sawa kufanya hivi kwenye mahusiano?

    Mwanamke ukiona tu anakupangia hadi pesa ya wewe kumuhudumia yeye ujue anakumudu Yani wewe ni dhaifu kwake humuwezi. Itabidi uachane nae mapema, suala la huduma linakujaga automatically Kwenye mahusiano.
  5. True Thug

    Msanii Bando MC hajui 'Ku-Rap'

    Kuna yule anaitwa bonge la nyau sijui nae mnamuweka kama rapper au vipi
  6. True Thug

    Ukimpa kipaumbele na kumuwezesha zaidi yako atakuacha

    Umemjibu vizuri sana. Mtoa mada yupo sahihi sana mwanamke mzidi vitu vingi na usijaribu kumuwezesha naongea kwa uzoefu kabisa iliwahi kunikuta na huyo mwanamke ni mimi ndo nilimbikiri lakin yalinishinda ilibidi nimuache tu. Funzo: usimuamshe aliyelala
  7. True Thug

    Mpenzi wangu wa tangu 2020 kaolewa, kaniambia heshima itawale. I didn’t see this coming!

    Hii ni kweli ndiyo maana Mimi sipendi ukaribu wowote hata mawasiliano na mwanamke tuliyeachana. Sitaki stress
  8. True Thug

    Ukimpa kipaumbele na kumuwezesha zaidi yako atakuacha

    Kwa experience yangu upo sahihi sana kwenye hili andiko lako, Nina shuhuda nyingi sana.
  9. True Thug

    Jinsi ya kumfurahisha Mwanamke wako

    Kumbe ni msomi na muajiriwa bas siwez kushangaa hizo tabia Bila shaka anakusaidia sana kimaisha na kazi yake anayofanya.
  10. True Thug

    Jinsi ya kumfurahisha Mwanamke wako

    Hizo tabia za ujeur, ubishi kupita kiasi na kujiamini San,uliziona Kwenye uchumba ila ukasema atakuja kubadilika.
  11. True Thug

    Natabiri dunia lazima ivute pumzi muda mchache ujao ni kiama Iran

    Israel sio taifa Wala kabila Israeli ni mtu.
  12. True Thug

    Hii hali inaniumiza sana

    Achana na huyo mwanamke mkuu Nishawahi kupitia hiyo Hali niliamua kuachana nae na nikaja kugundua ni uamuzi Bora kabisa nliowahi kuufanya. Kukosa options ndo kuna sababisha uone ugumu kumuachia, Wakati mwanamke anaweza kuwa na mahusiano serious na wewe lakini akaendelea kugawa namba huko nje...
  13. True Thug

    Kuwa mwanamke wa kisasa Tanzania ni changamoto sana katika mahusiano/ndoa

    Upo sahihi Binafsi nilishindwa Sababu ya jeuri na ushindani wao.
  14. True Thug

    Epuka kuwa na circle kubwa ya wanawake

    Wanaume wengi wa JF wanapenda tetea hoja na ku-like comments za wanawake kwa malengo fulani hivi Wapuuze tu.
  15. True Thug

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Wanawake Hawaoni shida ku-share high value man.
Back
Top Bottom