Recent content by trplmike

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kamwe! Usikate tamaa!

    Well said. I agree mkuu..
  2. T

    JamiiForums Tanzania Alibaba Refund

    Natumia Airtel
  3. T

    JamiiForums Tanzania Alibaba Refund

    Nadhani bado process ya ku refund haijakamilika.. normally wanasema ndani ya siku 3 hadi 20 Zikipita siku 20 kabla pesa haija rudi ndio unaweza kulalamika
  4. T

    JamiiForums Tanzania Alibaba Refund

    Mimi ilinitokea like 3 weeks ago. China wana lock down. Kwa hiyo viwanda vyingi vilikuwa vimefungwa. Baada ya siku 7. Ile kampuni ilishindwa kutuma mzigo.. kwa hiyo wakasema pesa itarudishwa ndani ya siku 3 hadi 20 Uzuri wangu nilikuwa nimetumia hizi master card za Mobile Money.. Kweli siku...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ulivyoagiza gari yako spare key uliikuta sehemu gani?

    thank you Kaka, ulizikuta sehemu gani
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ulivyoagiza gari yako spare key uliikuta sehemu gani?

    Magari yote naagiza Japan kaka....
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ulivyoagiza gari yako spare key uliikuta sehemu gani?

    Ulivyoagiza gari yako ufunguo wa akiba..uliukuta sehemu gani? Njooni tupeane maujanja. Kuna gari moja niliiagiza ufunguo wa spare niliukuta ndani ya Manual book ya gari. Kwenye gari nyingine baada ya kutafuta sana.. nilikuja kuukuta kwenye hivi vidroo vidogo dogo ambavyo vipi kwenye dashboard...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kuna sehemu yenye joto zaidi ya Ifakara Tanzania?

    Kinachofanya joto la Dar liwe la kukera ni Humidity ni kubwa sana. (unyevu nyevu kwenye hewa). Hii inafanya watu watoe jasho sana. Kuna wakati bongo Humidity inafika mpaka 80.. hapo ni mwendo wa jasho tupu. Hapa mwili ukipumua unakutana na maji maji yamejaa tayari kwenye hewa (air), yanashindwa...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Je, asali haipandishi kiwango cha sukari mwilini?

    Watu wenye Sukari wana sukari yao maalumu ya kutumia. Inapatikanika sehemu nyingi. Inakuwa ya kidonge au drops. Kidonge kimoja ni sawa na kijiko kimoja cha sukari. Nimeattach picha hapa
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kukaa na line ya simu nje ya nchi kwa zaidi ya mwaka bila kufungiwa

    Hapana, anakupigia kawaida tuu. sema lazima uwe na pesa kwenye salio. Sababu ukipokea unakatwa pesa pia, Tena wewe unaepokea unakatwa pesa nyingi (according to roaming agreements) Ila yeye anaekupigia anakatwa tuu kawaida, kama anavyompigia mtu wa local hapa
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kukaa na line ya simu nje ya nchi kwa zaidi ya mwaka bila kufungiwa

    Siku hizi kuna pre paid roaming. Sio kama zamani . Mimi mfano naweka buku kwenye line. Natuma sms..chache.. na bado huwa natumia mobile money. Napata msg za internet banking etc
Back
Top Bottom