Recent content by Troojan

 1. Troojan

  Naomba mwongozo kwa vijana waliomaliza chuo na kutakiwa kujiunga JKT

  najaribi kuwaza hao walioenda uko na kirudi wanamaajabu gani??hebu mwenye uzoefu anisaidie
 2. Troojan

  Naomba mwongozo kwa vijana waliomaliza chuo na kutakiwa kujiunga JKT

  yaaan angekua wa kiume ningejitoa muhanga.ila huyu aiseee hapana..staki kukaa miezi 3 sina amani ya moyo.
 3. Troojan

  Naomba mwongozo kwa vijana waliomaliza chuo na kutakiwa kujiunga JKT

  Wanabodi: Binti yangu amemaliza form 6, sasa linakuja suala la kwenda JKT aisee binafsi yangu siitaji bint yangu aende uko kabisaa maana roho yangu inakataa sasa je asipokwenda kuna madhara gani unayoweza yapata uko baadae??na omba mje kwa kunishauri..ila sitaki aende uko. Ninayo yaona kwa wale...
 4. Troojan

  Nilikuwa napuuza 'Chuma Ulete', leo yamenikuta

  kuna watu wanaozindika biashara zao kibabe kama muhindi na mwarabu.??yaaan wewe unavunja nazi usiku usionekani ila muhindi anavunja nazi kweupeeee na kufanya matambiko yake...wanajikinga sana wale na haya mambo
 5. Troojan

  Nilikuwa napuuza 'Chuma Ulete', leo yamenikuta

  mimi nishapigwa Tanga stand 50000 jioni aiseee.yaaan mtu aliniomba chenji ya buku..si nikampa nikaiweka kwa wallet...daah nafika home nimpe wife ahifadhi naikuta ile buku tu....yaaan skuamini...
 6. Troojan

  Nifanyeje niache kuangalia video za ngono?

  mzee unataka kukikana chama cha CHAPUTA??
 7. Troojan

  Visa nilivyoshuhudia kwa ndugu yangu Mtaalam wa Tiba za Asili

  nilichogundua humu...kanda ya ziwa inaongoza kwa haya mambo ya kishirikina...yaaan shuhuda zote ni kigoma ujiji na mwanza bariadii[emoji846][emoji846]
 8. Troojan

  Update ya Zero SMS application

  thanks mkuu.privacy ni mhimu na ndio maana kila mtu anakiswaswadu chake
 9. Troojan

  Update ya Zero SMS application

  me naomba msaada..natumia sms za kawaida sasa nmegundua mke wangu naweza kupekua sms zangu..sasaje kuna application yeyote ukitumia mtu hawezi kuhack sms zako?? msaada pliz mana naweza peleka mtu police
 10. Troojan

  Kuna Mlipuko wa Homa na Mafua makali jijini Dar

  mimi nimetoka hispital mda huu niko hoi....yaaan nmekua kama fala...homa kikohozi,mafua..matonses yote kwa pamoja!!!vinatesa sana
 11. Troojan

  Mbagala ni sehemu ya hovyo, unajengaje nyumba ya kifahari Mbagala?

  sisi watoto wa uswazi mbagala ndio home...vigodolo minanda,,micbiriku ndio imetukuza mzeee..uko ushuwani hatukuwezi mzeee....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 12. Troojan

  Ukiwa Tanga usiwe na haraka

  Sisi watanga tunawashangaa..hayo mambo mmeytaoa wap??mbona Tanga pako poa sana....yaaaan tena tanga hakuna izo purukushani
Top Bottom