Kuna shauri alifungua Zitto Zuberi kabwe akipinga kuondolewa kwa Professor Asad katika nafasi yake ya CAG. Mahakama ya Rufani iliyokaa na Majaji watano (5) likiongozwa na Jaji wa Mahakama ya Rufani waheshimiwa Barke Mbaraka Aboud Sehel, Dr. Gerald Anthony Mwandambo, Dr. Mary Caroline Levira...
Haikua Safari ya Kikazi ni Personal visit kuna shughuli anaenda kama Rais kuna mambo anaenda kama Samia Suluhu Hassani kama ulivyomuita hapo juu na ndiyo maana ilikua na Privacy ilifanyika jana within 3hours alienda na kurudi bongo.
Unapopauliza wapi ni hapo mahali alipochora sasa we mpumbavu ku spray rangi mali ya mtu bila ruhusa yake siyo kosa? Kwa style hii kubalini tuu mapenzi ya Jinsia moja kama viongozi wenu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.