Shida inakuja kwenye kusafirisha kwenye meli CBM 1 ni kama dollar 400 sasa rim zinachukua nafasi kubwa sana kwahiyo utajikuta unalipa dollar 400 kwa idadi ndogo ya rim tofauti na ujichukua container Zima unalipia labda dollar 3000 lakini una uhakika kudouble the money ukimaliza mzigo
Nimejaribu kufuatilia kuagiza hizi rim tuka chini ni gharama sana unless unaagiza contena zima ambalo la sq 20 linabeba rims 8000 kwahiyo ukiwa na huo mtaji atleast ndio unaweza kudouble the capital
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.