Recent content by TRIPPLE G

  1. T

    JamiiForums Tanzania UDOM UDOM UDOM boom lini? 2mechoka

    kaka nimetoka kuchek sasa hivi kitu hakija ingia mbona.mi first year niko humanities ila jamaa wa education wanasema tayari wao,au wanatoa kwa awamu kila college..?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Boom Boom!jamani

    kwani kikawaida ukisha sign kwa loan officer inachukua muda gani kuingiziwa boom,na je mnataarifiwa kuwa mmeshawekewa au ndo kujiongeza mwenyewe kuchek account?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Boom Boom!jamani

    mi nipo UDOM,na kusain kwa loan officer tayar..
  4. T

    JamiiForums Tanzania Boom Boom!jamani

    Wanajamvi hivi Boom linatoka liniii?hali tete vyuoni..kama kuna mwenye tetesi atupe
  5. T

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu Boom

    thanx mkuu,hapo umenifahamisha.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu Boom

    bado ndugu hujanijibu swali langu,unajua kuna jamaa yangu amechaguliwa coz ambayo kwenye loan priority imeandikwa NON-PRIORITY kwenye tcu guide book,alafu kwenye profile ya kwenye amount loan kawekewa 1.hapo iko vip.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu Boom

    hivi wadau niwaulizeni?mtu ambaye kakosa loan kwa maana ana 0%,je atapata ile 7500 ya kila cku(accomodation)
  8. T

    JamiiForums Tanzania fedha inahitajika unaporipot chuoni

    usijal kijana,hii si yako..kuna tofauti kati ya single P&double P,so yakwako ina singleP,yangu ina double P,amani sana kaka.
  9. T

    JamiiForums Tanzania fedha inahitajika unaporipot chuoni

    chuo ni Udom kozi ya BA-ECONOMICS&SOCIOLOGY
  10. T

    JamiiForums Tanzania fedha inahitajika unaporipot chuoni

    jaman hiv mnaweza kunisaidia ni fedha kiasi gan kwa makadirio kinahitajika kujisajil chuo kabla ya boom?
  11. T

    JamiiForums Tanzania wale wa UDOM 2kutane HAPA !!!

    aisee mi BA-EC&SOC.pamoja sanaaa..
  12. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    shukran ndugu,naomba unijuze kuhusu bachelor of Arts in economics and sociology hapo Udom vip ina dili hiyo?na unaweza badili coz ukishareport chuon?
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa bachelor of science in chemistry ya udsm je kibongo bongo ina dili?

    vip jaman kuhusu Bachelor of Arts in Economics and socialogy ina dili?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kutumia nguvu kumkamata mtu kama ponda?

    Jamani kwani kuna ukweli kwamba Ponda ameshafariki?
  15. T

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Sakata la Sheikh Ponda lisifanyiwe siasa!

    hapo umenena kweli kabisa
Back
Top Bottom