Recent content by Trippier

  1. Trippier

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliochaguliwa vyuo vikuu 2018/2019:

    duu apo uliharibu kufungua account ingine yalikua matumizi mabaya ya hela ulichotakiwa kuwapigia afu pale paale angeweka mamb vizuri na angekwambia weka password 1 mpaka 5
  2. Trippier

    JamiiForums Tanzania Maoni:Kwa vyuo ulivyoapply, ni chuo gani mfumo wake upo vizuri, chuo gani kirekebishe mfumo wake wa usajili, toa changamoto kwenye mifumo ya usajili?

    mfumo wa udom walichagua koz ingine ilaa baada ya kutumiwa code na tcu kuthibitisha nikakaa siku mojaa nikaingia kwenye account angu nikakuta wameni badilishia kozi wameweka kozi inginee nikiwapigia simu wananambiaa njoo ivo ivo utakuja kufanya transfer
  3. Trippier

    JamiiForums Tanzania kuhusu confirmation code awamu ya pili

    piga admission
  4. Trippier

    JamiiForums Tanzania UDOM second round

    jaribu zote me ua wanapokea nishawasumbua sana mpaka wamenikalili labda iwe bize na ikiwa bize unapiga inginee zipo nyingi kuna mmoja atapokea tu
  5. Trippier

    JamiiForums Tanzania kuhusu confirmation code awamu ya pili

    wameziweka za kutosha kweny online application system ao ingia palee utazipata
  6. Trippier

    JamiiForums Tanzania UDOM second round

    ingia kweny online application system yao wameziwekaa pale nying sanaaa
  7. Trippier

    JamiiForums Tanzania kuhusu confirmation code awamu ya pili

    walitumaa
  8. Trippier

    JamiiForums Tanzania kuhusu confirmation code awamu ya pili

    chuo gaan?? ila mi code walituma tcu wenyew
  9. Trippier

    JamiiForums Tanzania UDOM second round

    wasiliana nao ndio solution pekee
  10. Trippier

    JamiiForums Tanzania kuhusu confirmation code awamu ya pili

    wasiliana na chuo me walinitumia jana leo ndio imekubalii kesho mwishoo
  11. Trippier

    JamiiForums Tanzania kuhusu confirmation code awamu ya pili

    pr pending maana ake uendelee kusubiri
  12. Trippier

    JamiiForums Tanzania kuhusu confirmation code awamu ya pili

    bado hujatumiwa?
  13. Trippier

    JamiiForums Tanzania kuhusu confirmation code awamu ya pili

    jaribu kuwasiliana nao
  14. Trippier

    JamiiForums Tanzania kuhusu confirmation code awamu ya pili

    bado ujafanikiwa??
  15. Trippier

    JamiiForums Tanzania Tangazo from TCU

    wapigie chuo unachotak ku comfirm
Back
Top Bottom