Dhana ya No Reform No Election ina eleweka na watu wote, changamoto wananchi wana "role" au wajibu gani kwenye mchakato wa kuzuia uchaguzi, NGO,Viongozi wa Dini,Vyombo vya dola, Watumishi, Wanachama wa chadema, vyama vingine vya siasa makini wafanya Biashara wanafunzi vyuo vikuu nk. Mipango...