Recent content by TRIPLE H

  1. TRIPLE H

    JamiiForums Tanzania Nina kidonda karibu na haja kubwa

    Ahsante wacha nikajaribu mkuu. Nashukuru
  2. TRIPLE H

    JamiiForums Tanzania Nina kidonda karibu na haja kubwa

    Wanasema mkojo una bacteria, hauwezi kusababisha maambukizi mengine?
  3. TRIPLE H

    JamiiForums Tanzania Nina kidonda karibu na haja kubwa

    Mkuu, Tatizo ulilo nalo ni kama nililo nalo na mie. Karibu miezi tisa kijidonda hakijapona na usaha unatoka daily, maumivu ni makali sana. Nimetumia sana ampiclox mpaka nimechoka. Wewe ushapona?
  4. TRIPLE H

    JamiiForums Tanzania Samsung galaxy j8

    Ni kweli mkuu Specs ziko vzr sana hata mie nashangaa ndo maana nikaja hapa kupewa mautaalam. Yeye anaishi Zanzibar mi nipo Dodoma. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. TRIPLE H

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutambua processor ya simu na kuijua simu ghushi(AndroidOS)

    Mkuu @Chief_Mkwawa, Ninenunua simu aina ya Samsung Galaxy J8 lakini kiukweli sijaifurahia kabisa. Iko very slow kwenye internet, picha ziko very blurred na nimestore picha chache sana si zaidi ya 10 but kila mara yaniandikia "free space" Tatizo ni nini hasa? Msaada tafadhali. Sent using Jamii...
  6. TRIPLE H

    JamiiForums Tanzania Samsung galaxy j8

    Nawezaje kujua kama ni fake au sio fake mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. TRIPLE H

    JamiiForums Tanzania Samsung galaxy j8

    Hapana mkuu, Nimesema sina uzoefu na hizi bidhaa za Samsung na nimepewa kama zawadi na mwanangu. Kwa hiyo kama waweza kunisaidia nikajua nitashukuru au kama ni fake nijue pia. Ahsante Sent using Jamii Forums mobile app
  8. TRIPLE H

    JamiiForums Tanzania Samsung galaxy j8

    Wakuu, Kwanza nikiri tu kuwa si mzoefu hata kidogo wa simu za Samsung. Nimekuwa natumia Tecno tu tangu mwaka 2012, kila toleo nanunua na kwa hiyo ninao uzoefu ktk kutumia smartphone za Tecno. Hadi sasa natumia camon C9 plus. Juzi kati hivi binti yangu kanitumia zawadi ya Samsung galaxy j8 ambayo...
  9. TRIPLE H

    JamiiForums Tanzania Ni wakati gani wafu hufika kuzimu?

    @Mshana Jr kama huna uhakika mbona wajibu kama mwenye uhakika?
  10. TRIPLE H

    JamiiForums Tanzania Ni wakati gani wafu hufika kuzimu?

    @Mshana Jr Hebu cheki hii verse ihusuyo Paradiso na hapo utaweza ku-cinclude whether or not kuna watu huko. LUKA 23: 42 Kisha akasema, Ee Yesu, nikumbuke utakapoingia katika ufalme wako. 43 Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami peponi. Sent from my TECNO-C9 using...
  11. TRIPLE H

    JamiiForums Tanzania Ni wakati gani wafu hufika kuzimu?

    Mkuu Mshana Jr, Mtu ni NAFSI yenye ROHO inayokaa ndani ya MWILI. Kwa msingi huo mtu HAFI kabisa isipokuwa kinachofanyika ni kutengana tu kwa sehemu hizo tatu kila kimoja kwenda mahali pake. Ni hivi, wewe Mshana unaishi ndani ya UMBO lako hilo ukiunganishwa vyema na kitu kinachoitwa KAMBA YA...
  12. TRIPLE H

    JamiiForums Tanzania Bible Vs Science: Je ulimwengu una umri gani?

    Mkuu zitto junior, Kutokana na nadharia nyingi sana zilizopo hadi leo kuhusiana na UMRI wa dunia, zikiwepo hizo ulizozielezea; ni ukweli usiopingika kuwa SI VYEPESI hata kidogo kujua umri wake sahihi. Ila kwa msingi wa Biblia, INAWEZEKANA dunia ina mamilioni elfu au mabilioni ya miaka kwa sababu...
  13. TRIPLE H

    JamiiForums Tanzania Siri iliyofichwa kuhusu BIBLIA

    Mkuu Malyenge, Kwa kuwa tunazungumza kwa muktadha wa Biblia, naomba nikupe nukuu hii kutoka Matendo 10. Inaelezea vizuri na kujibu vyema swali lako. 9 Hata siku ya pili, walipokuwa wakisafiri na kuukaribia mji, Petro alipanda juu darini, kwenda kuomba, yapata saa sita ya mchana; 10 akaumwa...
  14. TRIPLE H

    JamiiForums Tanzania A living reincarnation, rebirth..!

    Hawa viongozi wa kidini wanatakiwa wajue namna ya ku-link mambo ya kiroho, kisayansi na hata kijamii kwa sababu kama kutatokea changamoto ambazo zinaibuliwa na watu kama Mshana Jr. na watu wakakosa back up ya maarifa ya waalimu wao (masheikh, wachungaji) inakuwa ni taabu kweli kweli.
Back
Top Bottom