Hii hata mimi niliisikia alimfanyia majaribio na bunduki yake ile alionyesha kwa TV. Na kutamba. Mwendawazimu Magufuli ni LAANAKUM.
Alaaniwe na kizazi chake chote.
Kama masihala Hitler alianza mdogo mdogo, alitengeneza vibaraka wake, wakamsaidia kuhangamiza wayahudi zaidi ya milion sita.
Tulia na MapoliCCM wa Mbeya wamekuwa VIBARAKA wa mkoloni Samia. Wanatesa na kuhangamiza tu watanganyika wenzao.
Mungu mkubwa na InshaAllah..!
Ndio maana ya UCHAWA lazima uonekane ni mchafu kweli mbele ya mkoloni Samia. Chawa wa mama ni watumwa na watwana kamili. Vinginevyo hakuna posho. Ukoloni mambo leo, juu juu juu zaidi.,!
CCM ni JANGA katika nchi. MaCCM yanasemaje ”Umeleta na tumepokea.” Akija CAG kukagua anakuta wamezikula kwa urefu wa kamba zao.
Chama Cha Mambuzi = CCM
Haaa haa just haaa haaa mmekwama. Wanafukuzwa Wakuu wa wilaya kwa kwa ujinga sio mtasema tu. Muda ni mwamuzi. 😂😂😂😂🙌🏾
Haa haa just haa haa, Samia anafukuza wakuu wa wilaya kadi kurudishwa. Wewe unakenua kenua tu hapa kama HAYAWANI. Tatizo lenu MaCCM wote akili zenu hazina akili. Na hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.