Recent content by trica

  1. T

    JamiiForums Tanzania Namtafuta rafiki yangu aliyeishi maeneo ya Mwenge magorofa ya Jeshi miaka ya 2005-2009/10

    Mkuu naweza pata namba ya mtu yeyote mabaye anaweza nisaidia kumpata mkuu, nisaide
  2. T

    JamiiForums Tanzania Namtafuta rafiki yangu aliyeishi maeneo ya Mwenge magorofa ya Jeshi miaka ya 2005-2009/10

    Huko kote nimeangaika ila sijapata mafanikio.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Namtafuta rafiki yangu aliyeishi maeneo ya Mwenge magorofa ya Jeshi miaka ya 2005-2009/10

    Mkuu walisha ama pale wanapokaa, nimejaribu kupata access na watu waliokuwa wanakaa hapo mwenge sijapata, maana mimi nilikutana nae morogoro, ila najua alikuwa anakaa mwenge kota za jeshi.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Namtafuta rafiki yangu aliyeishi maeneo ya Mwenge magorofa ya Jeshi miaka ya 2005-2009/10

    Habarini ndugu zangu, poleni na majuumu, namtafuta rafiki yangu kipenzi anaitwa JOSHUA RUSHINGWA (NDALU), nilipotezana naye mwaka 2009, yeye alisoma shule ya Sekondari KAMBANGWA, na alikuwa anaishi Mwenge magorofa ya jeshi karibu na mlalakuwa, ukiwa unatokea Sinza Afrikasana ni baada ya kota za...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Vijana mjiajiri, mtaji sio tatizo

    Taifa limepata hasara sana kukusomesha
  6. T

    JamiiForums Tanzania House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    awa ndio wanawaambiaga dada zetu kuwa kuna ela anaisikilizia ikitiki tu wametoboa maisha
  7. T

    JamiiForums Tanzania House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    madalali ni miyeyusho mnooo kaka
  8. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nauli na taratibu za kwenda Kenya kutoka Tanzania

    mkuu unaenda na watoto kwenye mambo ya DNA nini, maana naskia DNA ya kweli inapatikana NAIROBI KENYA, nenda kathibitishe mkuu maana awa wanawake uwa hawaeleweki kabisa siku izi
  9. T

    JamiiForums Tanzania Vijana itumieni vizuri Linkedln kuna fursa nyingi

    Hebu tuelezee unalipiaje mkuu
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nawakaribisha ndugu zangu mnipe maelezo kidogo kuhusu Uber

    Nimetoka na kitu kwenye huu uzi, safi sana.
  11. T

    JamiiForums Tanzania House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    naona shida zako zote unataka kuzitatua kupitia udalali wa nyumba, utakuta mwenyewe anataka milion30, dalali wa kwanza kaongeza milion 20 (jumla mlioni 55), dalali wa pili kaweka milion 20 (jumla milion 75), wewe ukaona uwekepo milion 10, jumla 85........duh kweli dar mji mzito sana aiseeee
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nipo njiapanda, msaada wenu wanaJF

    Sawa mkuu.
Back
Top Bottom