nili peleka vyeti vyangu vyote nika jieleza kwamba nime pita jkt ila sikuchukuaga Cheti MP wa pale getin makao makuu aka sema Una nidanganya eee nika mjibu hapana aka itwa afande mwingine Nika pelekwa kwenye kichumba Kwa ndani kidogo waka nikaba tena kwamba sema ukweli nika salimu amri Nika...
asante sana Kaka nime apply Kwa email Yao pia kuna MTU Dodoma nime mtumia vyeti nime muomba anipelekee Kwa mkono makao yao makuu msalato Kwa neema zake Mungu nikipata nitakuja kushuhudia hapa🙏🏾🙏🏾
vip Kwa wale ambao hawana Cheti cha jkt na wanakata kujiunga na jeshi hivi ina wezekana Yan Mim nipo mtaani natafuta Sana vibarua Ila ime kuwa ngumu wakubwa so nime waza niapply nafasi hio ya jwtz lakin Cheti Cha jkt sina Nina form 4,6 na bachelor ya shipping ki umri nina miaka 23 now ..vip...
Habarin Wana JF heshima yenu wote 🙏🏾 natumaini wote ni wazima kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uzima anao tujaalia kila siku itwapo leo.
Ndugu zangu mbele yenu ni kijana mtanzania nina ishi dar es salaam nime hitimu bachelor degree in shipping and logistics management mwaka 2022
Nina...
yeah mfano kwenye export ndio at least kulikuwa na vi hela maana tulikuwa tuna pokea mizigo ya kwenda nje ya tz na pale ndio tulikuwa tuna poozwa na ma agent wa nje
Amen brigehr...nilivyo Anza chuo 2019 mwaka 2020 nilienda bandalin Mim na rafik zangu kujitolea ili tupate uzoefu wa kazi huku tuna soma so nilikuwa naenda napiga kazi thena narudi chuo maana geti la TPA na chuo Cheri dmi pale ni pua na mdomo ni karibu sana
Habarin Wana JF heshima yenu wote 🙏🏾 natumaini wote ni wazima kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uzima anao tujaalia kila siku itwapo Leo.
Ndugu zangu mbele yenu ni kijana mtanzania nina ishi dar es salaam nime hitimu bachelor degree in shipping and logistics management mwaka 2022
Nina...
Habarin Wana JF heshima yenu wote 🙏🏾 natumaini wote ni wazima kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uzima anao tujaalia kila siku itwapo Leo....
Ndugu zangu mbele yenu ni kijana mtanzania nina ishi dar es salaam nime hitimu bachelor degree in shipping and logistics management mwaka 2022
Nina...
Kaka type connection ulipataje kazi huko marekani application ya H-1B visa ukifanyaje Hadi ukatoboa na uka fika us please type hints Mim mwenyewe nahitaji kufika huko
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.