Recent content by treasury hunter

  1. treasury hunter

    Singida: Ajali inayohusisha Lori imetokea na kusababisha moto mkubwa maeneo ya Misigiri, 2 wapoteza maisha

    Lori La Mafuta Lawaka Moto na Kuua Singida Taarifa kutoka mkoani Singida muda huu ni kwamba lori la mafuta limeanguka na kuwaka moto katika eneo la Mlima Sekenke na watu wawili wanaripotiwa kupoteza maisha. Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida Deborah Magiligimba ambaye amethibitisha kutokea kwa...
  2. treasury hunter

    Singida: Ajali inayohusisha Lori imetokea na kusababisha moto mkubwa maeneo ya Misigiri, 2 wapoteza maisha

    Beaking News: Lori La Mafuta Lawaka Moto na Kuua Singida Taarifa kutoka mkoani Singida muda huu ni kwamba lori la mafuta limeanguka na kuwaka moto katika eneo la Mlima Sekenke na watu wawili wanaripotiwa kupoteza maisha. Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida Deborah Magiligimba ambaye...
  3. treasury hunter

    Nyimbo za mapenzi zenye maneno matamu

    Huyuu jamaa katendea haki kifaa chakee kabisaa
  4. treasury hunter

    Mambosasa: Wakiandamana kupitia mitandao ya kijamii hatuna shida, ila wakiingia barabarani wasijutie

    Kamanda wa Polisi kanda Maalumu ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa azungumza na Mwandishi wa DW Hawa Bihoga kuhusu maandamano ya Aprili 26 na kutoa tahadhari kwa wanaopanga kushiriki maandamano hayo.
  5. treasury hunter

    BBC Dira ya Dunia: Zari athibitisha kuachana rasmi na Diamond

    Hahahhahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  6. treasury hunter

    BBC Dira ya Dunia: Zari athibitisha kuachana rasmi na Diamond

    Baada ya tetesi nyingi hatimaye mjasiriamali na mama watoto wa mwanamuziki maarufu barani Afrika kutoka Tanzania Diamond - Zari Hassan, ameubwaga moyo na kuweka wazi hasa kilichowasibu wawili hao maarufu. Katika mahojiano maalum na Mariam Omar wa BBC, Zari ameulizwa iwapo Diamond mwenyewe...
Back
Top Bottom