Recent content by Traveller TM

  1. Traveller TM

    JamiiForums Tanzania Kufungiwa kwa acount za Mange ni sahihi au hapana

    Kelele zimekuwa nyingi mitandaoni na International communities zimeanza Ku voice up kuhusu hii issue ya accounts za Activists kupigwa Chini, Meta ajiandae Kwa Case mana issue imesha Anza kwenda Viral Ila pia kesi ya Mange ni Revidiscm ambayo kama meta Kwao wako sahihi kuwa T & C were not...
  2. Traveller TM

    JamiiForums Tanzania Kufungiwa kwa acount za Mange ni sahihi au hapana

    Upande wa account ya Maria Sarungi ni Authorities za Nchi ndio zime Fanya iyo formal request ili kufungia hio account
  3. Traveller TM

    JamiiForums Tanzania Kufungiwa kwa acount za Mange ni sahihi au hapana

    Larry Madowo Leo asubuhi aliwaandikia Meta Inc email kuulizia swala la Account za Activists wawili kuwa restricted na Majibu yake yalikuwa ivi Account ya Maria Sarungi imefungwa kwasababu authorities za Tanzania ziliwandikia Meta official message kuwaomba wafungie hio account na meta wakafanya...
  4. Traveller TM

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Hakuna dini ya ku-override serikali, toka niingie madarakani TEC wametoa nyaraka 8

    TEC kama reputable institution naamini kabisa Milango ya kuaccess taaasisi ya hio ya Juu kabisa Iko wazi muda mwingi, Izi Kelele zimekuwa nyingi sana wakati huu mpaka inatupa mashaka kuwa Hawa watu wamebanwa au shida ni nini?
  5. Traveller TM

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Hakuna dini ya ku-override serikali, toka niingie madarakani TEC wametoa nyaraka 8

    TEC Wanahoja shida yao ni kutaka kujiona na wao Wana mamlaka au Influence, Waheshimu Presidency basi Urais ni taaasisi wanaenda Makanisani kwasababu nchi ni tulivu
  6. Traveller TM

    JamiiForums Tanzania Serikali ifanye uhakiki kwenye Shule za English medium huko ndio jiko la kuwavua uzalendo vijana

    Watu dizaini ya Wasira wamejawa na Viburi sana na ndio wanafanya Vijana waone Hawa wazee kwanini hawapumziki kupisha wengine Wana uchu na madaraka as if wao ni familia za Wafalme.
  7. Traveller TM

    JamiiForums Tanzania Serikali ifanye uhakiki kwenye Shule za English medium huko ndio jiko la kuwavua uzalendo vijana

    Kitu msichotaka Kukubaliana nacho ni kuwa nyakati na watu wanabadilika, Leo wasira aliyewahi Kuwa RC wakati wa zama za Nyerere atawaeleza Nini Gen z sasa?
  8. Traveller TM

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mkutano wa Samia na Wazee Desemba 2 anaenda kutoa bonge la Boko litakalotia Vijana ndimu watoke Disemba 9

    Ministries Cabinet wote waliokuwa wanalalamikiwa hawakurudi kwenye Dockets zao, Later walikuja kurudishwa kama President's Advisers
  9. Traveller TM

    JamiiForums Tanzania Wakuu, hivi kuna magari ya kutoka Mbezi mpaka Mbagala moja Kwa moja?

    Guyzi situmesema JF members wote Wana magari binafsi
  10. Traveller TM

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padre Kitima: Sisi tunamiliki Hospitali, waliletwa majeruhi, wakasema wasitibiwe tunataka kuwaona Mochwari

    Mkuu with all respect, Naamini hii order imekuwa approved tu may be Bila general Concern what might happen after, Kama umekuwa kwenye leadership najua utanielewa let the CinC punish those who advised her, Kwasababu any attempt to remove her it will bring more Chaos the best options nadhani Kwa...
  11. Traveller TM

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padri Kitima: Kulikuwa kuna maana gani kuwaambia watu wakae ndani halafu wanafuatwa mtaani na majumbani na kuuawa?

    It's highly time now IGP na Other police Senior officials especially wale walio trend kabla ya Uchaguzi kuchukuliwa hatua Kali sana, Hao wawe Mbuzi wa kafara ili kutibu huu mpasuko wa taifa
  12. Traveller TM

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padre Kitima: Sisi tunamiliki Hospitali, waliletwa majeruhi, wakasema wasitibiwe tunataka kuwaona Mochwari

    However brings a plan, Shoot to kill alikosea sana naamini Pressure Kwa Viongozi wetu walio approve ilikuwa juu sana lakini the guy who proposed that way ametengenisha sana taifa The best way apa Baadhi ya Viongozi wa Kipolisi watolewe kafara Kwa kukamatwa na Sheria iwabane for a while ili kaka...
  13. Traveller TM

    JamiiForums Tanzania Starlink: Mkombozi pekee wa Mawasiliano wakati wa D9

    Go fiber yenyewe ilikuwa active for two days then ndio Waka shut
  14. Traveller TM

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Maridhiano: Kwanza Balozi (CP) Suzan Kaganda awe IGP ndo tukae mezani

    IGP ana report Kwa Rais na Ni kazi ya Urais(Presidency) kucheck kama Hao top Senior officials ni watii Kwa mamlaka, Hakuna Kitu atabadilsha uyo kama Mifumo yetu Kwa sasa na taaasisi zinaburuzwa, Nina Uhakika hata mtu kama Msigwa ile sio akili Lakini atafanyaje sasa na ugali anataka? Pia Kwa...
Back
Top Bottom